Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Duh! mambo ya kikubwa haya. Napita.
piga mzee,tamu sana ile muda toto ipo kwenye tumbo coz inakuwa ya moto na yenye utamu wa kipekee
none stop
Nilikuwa najiuliza sana ,nimepata majibu.huu ukubwa banaaa...
Hakuna muda hata kama unamega then after 30 min anashikwa uchungu
Kama mtoto aliyeko tumboni ni she ukifanya hiyo kitu,utakuwa umetembea na mwanao.na kama mtoto ni He utakuwa umemla nyuma mwanao.
mi sijui berner aaahh!
Perfect numbers like perfect men are very rare.
Kutokana na makala moja niliyosikiliza BBC siku moja kama mwanamke hasikii maumivu yoyote wakati wa tendo anawezakushirika kwa siku zote mpaka mama kujifungua pasipo na madhara yoyote kwa mama wala mtoto
Hali hii inategemea condition ya mama.
Chunguza kwanza mama ana haligani.Sio wakati wote ni mechi.
Mh asanteni wakubwa!
Kuna mimba zinasababishaga mwanamke akuchukie tu bila sababu. Sasa usiombe mimba ya wife ikuchukie! Hata gemu unaweza kosa, yani ni hadi azae.
Follow Us Here