Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Nimekusoma Mama...
Chakushangaza njemba zote zilizochangia hapa zinahisia sawasawa, raha maradufu...
Mianaume ndivyo tulivyo.
Mbegu gani hizo ambazo hazisafishwi na fluidi hiyo.....au ina maana mama hajiswafi na baba anamwaga ndoo nzima ya manii?By Mama;308209 wakati mtoto anazaliwa ule mfuko wake hupasuka (inayosababisha omniotic fluid kumwagika) hivyo basi mtoto anapopita kwenye njia ya uzazi huwa hana kizuizi chochote.........huo mfuko wa uzazi hutoka nje baadaye. [B
Poa poa
...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....
Mfano aliotoa wa wanyama kuvimba nyeti (gential organs) zao wakati wa mimba hauna neno. Hata hivyo, swali lako haliwatendei haki wanyama uliowataja. Naomba kueleza kwamba, kwa wanyama wengi hasa wasio jamii ya binadamu na sokwe (non-primates), ngono inafanyika wakati wakiwa kwenye joto tu. Hawafanyi ngono kwa ajili ya starehe (i.e they don't do sex for leisure or pleasure!!!). Kwao ngono ni kwa ajili ya kuzaa tu (sex is for reproduction and nothing else). Kwa hiyo hilo la kuuliza kama ngono ni tamu kwao wakati wa mimba au la halipo. Wanyama wote uliowataja hawawezi kufanya ngono bila kuwa kwenye joto. Kama huamini mpelekee ng'ombe wako dume wakati hayuko kwenye joto uone. Hilo dume litakurudi wewe mwenyewe!!!
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Haya Bwana mwageni sera sisi tusio na ujuzi tufaidike.It seems mama is talking out of expirience!
In the end will remember,not the words of our enemies but the silence of our friends.
Hii furaha sijui inatoka wapi, fikiria mtoto wako akiwa na makapi ya mbegu zako za kiume juu ya paji lake la uso...just picture it out mwone yuko mbele ya uso wako na mbegu zako juu ya utosi wake ....i would rather NOT do it mwezi wa mwisho.
SAFI SANA INATOA PIPMLES ZOTE ,NDIO MAAANA WAMAMA WAMEAMUA KUPAKA SHAWA BADALA YA CREAM SIKUHIZI
ehh, yamekua hayo tena?!!SAFI SANA INATOA PIPMLES ZOTE ,NDIO MAAANA WAMAMA WAMEAMUA KUPAKA SHAWA BADALA YA CREAM SIKUHIZI
#Dunia ni yako :Chaguo ni lako.
Tuliwahi kufanya mchana na akashikwa na uchungu usiku,alizaa baada ya saa moja tangu aanze kusikia uchungu,Mi naona inasaidia kuzaa haraka.Na sio kwamba tunafanya kila wakati lakini wakati huu ni wa kuwa karibu sana na mkeo,kumkanda,kumkumbatia,kuto muudhi na kusaidia kazi nyumbani.Rudi nyumbani mapema,mpigie simu kila wakati na mwonyeshe kuwa yeye ndio kila kitu maishani mwako.
"Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet
“When the missionaries came to Africa they had the Bible and we had the land. They said ''Let us pray'' we closed our eyes. When we opened them we had the Bible and they had the land.
- Rev.Bishop Desmond Tutu.
Du, kuwe na restriction huku wasiooa, wasijue haya !
waliooa wanasema kulala na mjamzito raha, wasiooa wanaoelezwa habari njema ya mima na magril friend zao, wanakimbia au wanaruka futi 100,
ama kweli dunia duara
KUOA DILI
You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X
Naona hapa wote wataalam na wote wameelemea sehemu moja babu kubwa wadau tupo sote hapa!!
Hii mada nilijifunza jambo ambalo kwenye kusoma kwangu sikujifunza. Uko wapi SteveD. Personally you were my model man. Come back na kama uko kwa jina jingine please let me know through pm, You were making my days
BWANA ASIPOULINDA MJI, YEYE AULINDAYE AFANYA KAZI BURE:- VIVYO HIVYO TANZANIA AITALINDWA PASIPO MKONO MTAKATIFU WA MUNGU
Kama hana tatizo lolote la kiafya na mtoto naye hana tatizo lolote ni mbel kwa mbele mpaka siku atakapojisikia uchungu hakuna shida kabisa
It is almost impossible to harm the baby in the uterus by having sex. The water that the baby floats in, the membranes that hold the water, the womb, the abdominal wall and the bony pelvis serve to protect the baby from being hurt.
24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!
Follow Us Here