Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Madaktari huwa wanakawaida ya kumpima Njia MKEO...kwa kuingiza MIKONO yao kinenani...so Muhim kama upo na mkeo uwe Unapanua njia kiaina...
Suala la Kujaa uchafu wakati wa delivery...Ni Tatizo la Manesi wasio na Waume...lkn pia ni vema ukamshauri mkeo baada ya tendo la Ndoa apate CHAI au maji hasa ili aweze kwenda Haja ndogo kwani inasaidia akienda Haja Ndogo soon after kujamiiana nae ili asafishe NJIA..!!!
Sehemu ya kujaamiiana (ambayo ndio hii mtoto anatokea) na sehemu ya kutolea haja ndogo katika mwili wa mwanamke tofauti. This suggest uwezekano wa mtoto kuzaliwa na shahawa ni mkubwa kama mama atakuwa amejamiiana muda mfupi kabla ya kujifungua hata kama atakojoa kabla immediately kabla ya mtoto kutoka.
...lkn pia ni vema ukamshauri mkeo baada ya tendo la Ndoa apate CHAI au maji hasa ili aweze kwenda Haja ndogo kwani inasaidia akienda Haja Ndogo soon after kujamiiana nae ili asafishe NJIA..!!![/QUOTE]
Nipende kukujulisha tu kuwa njia ya mkojo ya mwanamke ni tofauti na njia ya kuelekea kwenye cervix. Kukojoa kwa mwanamke hakusaidii kusafisha njia ya ukeni.
mmh haya makubwa, as long as mkeo yuko comfortable hakuna tatizo lolote. Ila wakati mwingine sarakasi za mapenzi zinafanya tendo lenyewe kuwa adhabu ingawa kina dada wengi tunakuwa na ashki zaidi wakati wa ujauzito.
asante.
"Behind Every Successful Person Lies a Pack of Haters"
WanaJF,
Wengi wetu tunauzoefu wa kutosha katika suala hilo. Ni ukweli uliowazi kuwa kama haujafanya sex na pregnant woman basi raha ya sex haujaipata kwa kiwango stahili. Kwa wafugaji, sehemu za siri za ng'ombe, mbuzi mjamzito huwa zimetepeta na zinavutia the same kwa mama au dada zetu. Jamani kuleni mzigo huo msiuleee tafadhali hahahhaaaaaaaa! Lakini lazima na yeye apende ndio uta-enjoy.
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Mbegu zikiingia kwa mama mjamzito hazimfikii mtoto kwa vile anakuwa yupo kwenye nyumba yake. Sasa wakati mtoto anazaliwa ule mfuko wake hupasuka (inayosababisha omniotic fluid kumwagika) hivyo basi mtoto anapopita kwenye njia ya uzazi huwa hana kizuizi chochote.........huo mfuko wa uzazi hutoka nje baadaye. Hivyo kama mama alikuwa na mabaki ya mbegu wakati anajifungua, na hayakuoshwa na omniotic fluid bai mtoto atayachukua wakati anatoka. Imeshatokea, au yaweza kukutokea wewe wakati unajifungua.
Wanaume wenye kutoka nje ya ndoa zao please mtulie when your wives are pregnant .. msiwachanganyie uchafu na majasho ya hawara zenu .. and this way .. she will give birth healthily.
Abortion stops a beating heart
Mama heshima mbele..
Wanaume kadhaa hapa wanadai kuingiliana kimwili na mwanamke mjamzito ni raha mara dufu, je na wanawake kuingiliwa kimwili wakiwa wajawazito na wao husikia raha maradufu?..
Na jee hii ni moja ya sababu inayofanya wakina mama wengi kuongeza wivu pindi wawapo wajawazito.?
Asante mama.
MJ siwezi kuwaongelea wanawake wote, as uzoefu na feelings zinatofautiana. Ukiacha wanawake wanaohisi mara maradufu wakati wa ujauzito, kuna wengine wanahisi raha ya kawaida, wengine hawahisi chochote, wengine hawataki kabisa na wengine wanahisi zaidi ya maradufu.
Wivu wakati wa ujauzito pia hauna formula, je hujawahi sikia mama mjamzito hataki hata kumuona mumewe? achia mbali kuwa karibu nae na kushiriki nae tendo la ndoa? Kuna wengine ambao ujauzito haubadilishi chochote katika mapenzi yao kwa waume zao 'mambo yote nakuwa kama jusi'. Kuna wengine ambao wanakuwa na wivu uliopitiliza. Wanawake hawafanani na hivyo sidhani kama naweza jibu swali lako au labda pengine nimeshalijibu.
SteveD rafiki yangu tujulishe kama tayari tununue nappy ... maana mashangazi tumejaa tele humu .. ila ukimzaa mwezi huu wa kumi atakuwa mtundu sana mwambie wifi avumilie tu mpaka huu mwezi uishe
Abortion stops a beating heart
Follow Us Here