JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

  Report Post
  Page 1 of 59 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 1178
  1. Ubungoubungo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th July 2008
   Posts : 2,565
   Rep Power : 1197
   Likes Received
   698
   Likes Given
   34

   Default Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana, huwa nakuja kuileta huku.

   Tulikuwa tukijadili jambo moja hivi, kwaba, ni lini mwamke anaweza akapata mimba? Mimi kwa uelewa wangu niliwaambia ni siku ya kumi na tatu au kumi na nne after menstrocycle. Wengi walibisha, pamoja na kwamba hizo ndo prabable days za ku conceive. Wengi wanasema hata siku nyingine zinaweza, ila mimi kulingana na uelewa wangu, nilikuwa naelewa hivyo kwasababu watoto niliopata sijui kama nilifanya hizo siku au la, nilikuwa nadukua tu mara kwa mara mwezi mzima.

   Walinibana swali moja kwamba, unaanza kuhesabu lini, yaani utaanzia siku gani kuhesabu hadi zifikie siku hizo hapo juu, unaanza kuhesabu siku ya kwanza ya bleed ndo siku ya kwanza au siku ya mwisho wa bleed ndo siku unayoanza kuhesabu? Mimi niliwaambia ni siku ya kwanza unapoanza kubleed.

   Naomba kama kuna madaktari humu watoe elimu hapa kwasababu najua watu wengi wataelimika hapa, na wengi wanaweza kuepuka hata mimba zisizo na malengo.
   Quote By Kungurumweupe View Post
   Wakuu,

   Nakubaliana kwa kiasi fulani na wachangiaji wengine waliotangulia. Lakini natofautiana nao juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.

   Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.

   Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).

   Swali: Je siku ya mimba ni ipi?

   Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baada ya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cycle zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini:

   Jibu sahihi:
   1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili?

   2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote!

   Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy!

   With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days!
   Quote By Kungurumweupe View Post
   Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

   1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st
   , 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

   Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

   Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!

   Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

   Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!

  2. Mr Kiroboto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : Somewhere in the world
   Posts : 320
   Rep Power : 760
   Likes Received
   25
   Likes Given
   37

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   ni kweli siku zinaanza kuhesabiwa from the first day of menstration na katika siku ya 14 ndio yai linakuwa released(kwa maana litakuwa tayari limekomaa).yai hilo huweza kuwa hai kwa siku mbili au tatu,after those days the ovum (yai)become dead ,kwa vile mbegu za kiume nazo uweza kuwa hai kwa siku mbili au tatu,hivyo ni vizuri kama wataka mkeo apate ujauzito basi uwe unamuingilia zaidi katika siku ya 11~17.pia kama wataka muavoid ujauzito ni heri kuziepuka hizo siko

   NB
   (1)UJAUZITO UTAPATIKANA TU KATIKA SIKU HIZO KAMA WOTE(MKE NA MUME)MTAKUWA HAMNA MATATIZO YEYOTE YA UZAZI
   (2)MENSTRAL CYCLE INA UREFU WA SIKU 28 KWA KAWAIDA ,ILA KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANA SIKU PUNGUFU AU ZAIDI YA HIZO,UTARATIBU WA KUHESABU SIKU AMBAYO YAI LITAKUWA RELEASED NI ULE ULE YAANI NI SIKU YA 14 FROM THE FIRST DAY OF MESTRUATION.ILA KAMA KUNA MWANAMKE UPUNGUFU WAKE NI SIKU 14 AU CHINI YA HAPO BASI HUYO ITABIDI AMUONE DAKTARI HARAKA KWANI ATOWEZA KUPATA UJAUZITO.

  3. Baba Lao's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th May 2008
   Posts : 43
   Rep Power : 703
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Naomba kuongeza hapo.

   Mbezu za kiume zinazoweza kutoa mtoto wa kiume huweza kukaa muda wa masaa 48.na zinazoweza kutoa mtoto wa kike hukaa masaa 72. Kwa hiyo toka siku ya 11 mpaka siku ya 14 yai linapokuwa released ni masaa 72.KWA HIYO BASI, kama wataka mtoto wa kike wapaswa kufanya tendo la ndoa siku ya 11 au 12 maana mbegu za kutoa mtoto wa kiume zinakuwa zimeishiwa nguvu kabisa ifikapo siku ya 14 na za kike zitakuwa bado zinadunda.

   Ila kwa siku ya 13,14 yenyewe ukifanya tendo la ndoa mara nyingi posibility ya kupata mtoto wa kiume ni kubwa maana speed ya mbegu zitoazo mtoto wa kiume ni kubwa kuliko zitoazo mtoto wa kike. Na itakuwa ni ndani ya masaa 48 .

  4. Mwana wa Mungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th August 2008
   Posts : 1,014
   Rep Power : 883
   Likes Received
   38
   Likes Given
   6

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   May God help you all. For what I know, watoto ni thawabu toka kwa Mungu, Mungu ndiye mpaji wa vyote. ila Mungu pia ndo ametupatia sisi elimu na uelewa wote tulionao, hivyo tunaweza kuwa tunautumia pia.

   Kuna kitu hata mimi sijaelewa hapo, kuna mtu hapa amesema kuwa, ati mwanamke akiwa anaenda siku pungufu ya kumi na nne ana matatizo na hatopata mtoto. nielewavyo mimi, kuna wanawake wengine wanaenda bleed siku hata 22 na 23. Je hao nao hawatapata mtoto? na kwanini.

  5. Kungurumweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2008
   Posts : 318
   Rep Power : 753
   Likes Received
   33
   Likes Given
   0

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Wakuu,

   Nakubaliana kwa kiasi fulani na wachangiaji wengine waliotangulia. Lakini natofautiana nao juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.

   Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.

   Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).

   Swali: Je siku ya mimba ni ipi?

   Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baada ya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cycle zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini:

   Jibu sahihi:
   1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili?

   2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote!

   Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy!

   With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days!

  6. Mr Kiroboto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : Somewhere in the world
   Posts : 320
   Rep Power : 760
   Likes Received
   25
   Likes Given
   37

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By Kungurumweupe View Post
   Wakuu,   2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote!

   Once you know the 15th day from the last one then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant!

   With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days!
   mbona hujaeleweka hapa katika point namba 2,ina maana kama mke wangu ana menstral cycle yenye siku 35,je siku ipi nikimuingilia aweza pata ujauzito?usije changanya watu

  7. Haika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,223
   Rep Power : 1153
   Likes Received
   452
   Likes Given
   496

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   haya mimi mwanamama nachangia, ni ukweli aliyosema kunguru mweupe, mengine yana mapungufu.
   Kwa sie wakatoliki hii njia imeprove sucess kabisa kwa wale amabao wanaizingatia, inasaidia pia wanandoa kujadiliana na kuheshimiana na kuoneana huruma kiutu uzima,
   (haifai kwa walevi, selfish ppl, wabishi au waongo)

  8. Baba Ubaya's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th June 2008
   Posts : 127
   Rep Power : 714
   Likes Received
   18
   Likes Given
   1

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Nataka kuelewa jinsi ya kupata mapacha pia anayefahamu aweke hapa

  9. Haika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,223
   Rep Power : 1153
   Likes Received
   452
   Likes Given
   496

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   tafuta ukoo wenye mapacha uoe/olewe

  10. Ngonalugali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2008
   Location : Western Block
   Posts : 776
   Rep Power : 867
   Likes Received
   23
   Likes Given
   9

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By BABA LAO View Post
   naomba kuongeza hapo.mbezu za kiume zinazoweza kutoa mtoto wa kiume huweza kukaa muda wa masaa 48.na zinazoweza kutoa mtoto wa kike hukaa masaa 72.kwa hiyo toka siku ya 11 mpaka siku ya 14 yai linapokuwa released ni masaa 72.KWA HIYO BASI,kama wataka mtoto wa kike wapaswa kufanya tendo la ndoa siku ya 11 au 12 maana mbegu za kutoa mtoto wa kiume zinakuwa zimeishiwa nguvu kabisa ifikapo siku ya 14 na za kike zitakuwa bado zina dunda .ila kwa siku ya 13,14 yenyewe ukifanya tendo la ndoa mara nyingi posibility ya kupata mtoto wa kiume ni kubwa maana speed ya mbegu zitoazo mtoto wa kiume ni kubwa kuliko zitoazo mtoto wa kike.na itakuwa ni ndani ya masaa 48 .
   Maelezo yako ya mwanzo umeya-reverse.
   Ni kwamba mbegu za kiume ziko slow kwa speed wakati za kike ziko fast. Lakini life span ya mbegu za kiume ni kubwa yaani 72hrs wakati zile za kike ni 48hrs only tangu kuwa ejected.
   Nimependa maelezo yako maana naona unajaribu kutengeneza possibility ya mtu kuzaa mtoto wa jinsia aitakayo.

   Thanks!!!!!!!!

  11. Kungurumweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2008
   Posts : 318
   Rep Power : 753
   Likes Received
   33
   Likes Given
   0

   Post re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By mr kiroboto View Post
   mbona hujaeleweka hapa katika point namba 2,ina maana kama mke wangu ana menstral cycle yenye siku 35,je siku ipi nikimuingilia aweza pata ujauzito?usije changanya watu

   Mkuu Mr. Kiroboto,

   Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

   1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st
   , 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

   Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

   Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!

   Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

   Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!

  12. Kungurumweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2008
   Posts : 318
   Rep Power : 753
   Likes Received
   33
   Likes Given
   0

   Post re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By ngonalugali View Post
   Maelezo yako ya mwanzo umeya-reverse.
   Ni kwamba mbegu za kiume ziko slow kwa speed wakati za kike ziko fast. Lakini life span ya mbegu za kiume ni kubwa yaani 72hrs wakati zile za kike ni 48hrs only tangu kuwa ejected.
   Nimependa maelezo yako maana naona unajaribu kutengeneza possibility ya mtu kuzaa mtoto wa jinsia aitakayo.

   Thanks!!!!!!!!

   Mkuu ngonalugali, sikubaliani na maelezo yako!

   Ukweli ni kwamba, mbegu za kiume (yaani Y) ni nyembamba kwa umbile na ni faster ukilinganisha na zile za kike (yaani X).

   Hii ni kwa sababu ya ukweli kwamba, 'wembamba' wa umbo la mbegu za kiume huziwezesha kuogelea kwa urahisi kuliko zile za kike katika yale majimaji ya uke wa mwanamke. Hii inamaana kwamba, kama yai la mwanamke litakuwa tayari kwenye sehemu ya kurutubishia (yaani kama mwanamke atakutana kimwili na mwanaume siku ile ya mimba) basi mbegu moja tu ya kiume itakayotangulia kulifikia yai itaweza kurutubisha na kisha yai huvaa koti gumu ambalo huyazuia mamillioni ya mbegu zingine za kiume zilizochelewa pamoja na zile za kike zisiingie ndani ya hilo yai badala yake hubaki nje ya yai zikisubili kufa. Mtoto wa hii mimba ni wa kiume, yaani YX.

   Kama mwanamke atakutana na mwanaume siku 3 kabla ya siku ya mimba (fertile day) basi kuna uwezekano mkubwa wa kuzaliwa mtoto wa kike, yaani XX. Hii ni kwa sababu zile mbegu za kiume zitaogelea kwa kasi kubwa lakini zikifika kwenye sehemu ya kurutubishia hazitalikuta lile yai kwa sababu litakuwa halijafika sehemu yake. Zitasubili kwa siku mbili kisha zinakufa! Mbegu za kike zitaogelea polepole mpaka ile sehemu ya kurutubishia kisha zitakaa hapo kwa siku 3 zikilisubili lile yai lifike. Likifika tu ndani ya hizo siku 3 basi mbegu moja tu ya kike itakayochangamkia tenda italirutubisha yai hilo na kutengeneza mtoto wa kike, yaani XX.

   Kama itatokea kwamba mbegu zaidi ya moja zitafanikiwa kulirutubisha yai, basi yai hilo litagawika katika vipande vyenye idadi sawa na mbegu zilizorutubisha na kupata watoto mapacha wasiofanana! Kwa mfano, kama mbegu 2 zitarutubisha yai basi watazaliwa mapacha wawili wasiofanana. Na kama mbegu 6 zitarutubisha yai, basi watazaliwa mapacha 6 wasiofanana; kitu ambacho hata hivo ni nadra sana kutokea, yaani mapacha 6.

   Kama mbegu moja itarutubisha yai halafu muungano huo ukawa na idadi ya chromosomes zinazozidi kiwango kinachotakiwa, basi yai hilo litagawika sehemu mbili zilizo sawa na kupata mapacha wawili wanaofanana na ambao ni wa jinsia moja kufuatana na mbegu ipi kutoka kwa mwanaume ilirutubisha yai, ya kiume au ya kike.

  13. Aunty Lao's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th July 2008
   Posts : 215
   Rep Power : 730
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Nashukuru kwa hoja na michango ya kila mtu hapa, mimi pia ni mwanamke na kwa kweli nataka sasa kuanza kuzaa na ningependa sana mtoto wa kwanza awe wa kike.

   Kugurumweupe nimekupata vizuri sana kaka, ila sasa mimi na siku machanganyiko ndefu na fupi. hapa sijui utaweza kunisaidiaje. Na hiyo 15th day ndo umeniacha njia panda kabisaaaa. Maana kwa uelewa wangu, nikivipi utaanza hesabu kwa kurudi nyuma mpaka upate the 15 day while itakuwa imeshapita, sasa mimba utapataje na siku hiyo ndo itakuwa imepita. Au ulikuwa ukimaanisha kwa the coming month! naomba kueleweshwa hapo please.

  14. Aunty Lao's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th July 2008
   Posts : 215
   Rep Power : 730
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Smile re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By Lorain View Post
   Nashukuru kwa hoja na michango ya kila mtu hapa, mimi pia ni mwanamke na kwa kweli nataka sasa kuanza kuzaa na ningependa sana mtoto wa kwanza awe wa kike.

   Kugurumweupe nimekupata vizuri sana kaka, ila sasa mimi na siku machanganyiko ndefu na fupi. hapa sijui utaweza kunisaidiaje. Na hiyo 15th day ndo umeniacha njia panda kabisaaaa. Maana kwa uelewa wangu, nikivipi utaanza hesabu kwa kurudi nyuma mpaka upate the 15 day while itakuwa imeshapita, sasa mimba utapataje na siku hiyo ndo itakuwa imepita. Au ulikuwa ukimaanisha kwa the coming month! naomba kueleweshwa hapo please.
   Very sorry nimekosea ni wa KIUME kwanza then wa kike baadae.

  15. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By Kungurumweupe View Post
   Mkuu Mr. Kiroboto,

   1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

   1st
   , 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

   4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

   Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

   1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

   Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!
   Mkuu Kunguru nimekubali.....hili darasa tosha naweza sema hasa kwa akina dada......mkuu safi sana
   Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!
   Hii nakubali 100% ndio maana nilitetea makutano ya kimwli wakati jinsia ya kike akiwa kwenye hedhi.Big up sana kunguru.....ngoja niandae maswali nina mengi ya kuuliza kwenye thread hii
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  16. Bubu Msemaovyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2007
   Location : All around the World
   Posts : 3,488
   Rep Power : 4269171
   Likes Received
   2118
   Likes Given
   2578

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Kwenye kichwa cha habari neno TAREHE weka iwe SIKU ya 13 hadi 14. Kama utasisitiza kuwa ni tarehe basi ujue BIRTHDAY ZOTE duniani zingekuwa kati ya tarehe hizo tu. Lakini kuna multiple births kuanzia tarehe 1 hadi 31. Hata hivyo shukrani kwa mchanganuo wake mzuri sana.
   "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela

  17. Mchola's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th October 2007
   Posts : 88
   Rep Power : 740
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Mkuu Kunguruwhite,
   NIMEKUKUBALI. DARSA LAKO HALINA UTATA. ENDELEA KUTOA SHULE BILA HIANA. BY THE WAY SHULE KAMA HIZI ZINAHITAJIKA MNO!!!!!!
   Do not Agonize, Organize. -Kwame Nkrumah

  18. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Quote By haika View Post
   haya mimi mwanamama nachangia, (haifai kwa walevi, selfish ppl, wabishi au waongo)
   Sawa dada Haika mi siku zote nilikuwa najua wewe utakuwa baba.....nimekupata hapo kwa nini kwa walevi haifai sasa?
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  19. Kungurumweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2008
   Posts : 318
   Rep Power : 753
   Likes Received
   33
   Likes Given
   0

   Post re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Wakuu wote,

   Kwanza napenda nitoe shukurani zangu za dhati kwa wote wanaofuatilia kwa makini hii thread na hasa kwa yule aliyeanzisha. Pamoja na kwamba aliyeanzisha hii thread hakui-present vizuri lakini ameeleweka na nitamrekebisha kwenye post inayofuata kuhusiana na neno 'Tarehe 13 &14' kama linavyosomeka kwenye title ya thread hii!

   Pia, pamoja na kwamba posts ni chache lakini naamini kuwa, kuna watu wengi wa kila jinsia, kada na kila age wanafuatilia kwa makini hili somo kwa faida yao pamoja na ustawi wa jamii yetu. Usitegemee kupata hili somo shuleni au chuoni kwani vitabu vingi bado vinaongelea au kung'ang'ania theory ya zamani iliyo-prove failure juu ya hili jambo nyeti. Nami nitajitahidi kuanika wazi kila ninachokijua kuhusiana na hii mada. Pale nitakapokwama basi nitaomba yeyote anayefahamu katika kipengere hicho atusaidie ili twende sambamba!

   Karibuni tuendeleee...

  20. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,600
   Rep Power : 22388
   Likes Received
   1253
   Likes Given
   1121

   Default re: Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa...

   Ama kweli nimefunguka sisi ambao tulikimbia kuclem bilogy.
   Thanks to you all mliochangia kuna kitu nimegain
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  Page 1 of 59 123 11 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 6
   Last Post: 10th December 2011, 19:09
  2. Replies: 18
   Last Post: 3rd June 2011, 21:07
  3. Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa
   By Nyambala in forum International Forum
   Replies: 74
   Last Post: 7th February 2011, 20:51
  4. Kesi Ya Dr. Slaa, ushahidi ni wa kutungwa
   By Mpaka Kieleweke in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 14
   Last Post: 12th December 2007, 11:27

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...