JamiiSMS
Show/Hide This

Topic: matunda ya ukwaju.

Report Post
Results 1 to 9 of 9
1. Spider's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 13th February 2011
Location : Mwanza
Posts : 739
Rep Power : 628
Likes Received
55
Likes Given
6

Default matunda ya ukwaju.

naomba msaada wa kufaham kama matunda ya ukwaju yanaweza kutumika kama dawa na ni dawa ya kutibu nin?

2. klorokwini's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd December 2009
Location : Pharmacy
Posts : 8,720
Rep Power : 7697
Likes Received
4933
Likes Given
7318

Default Re: matunda ya ukwaju.

ina anti diabetic effect ( sikusudii anti shoga nakusudia anti ya ukinzani) halaf inasaidia kornea za macho kuna wengine wanafanya mpaka eye drop za kokwa za maukwaju (wapiga chabo wanaipenda sana), halaf ni nzuri kwa kudhibiti yale makolesterol.

Nikiposti laivu kutoka mzumbe department ya ukwaju, ni mimi dokta wenu klorokwini.
uporoto01 likes this.
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

3. Globu's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 12th January 2011
Location : Giningi
Posts : 7,109
Rep Power : 4911837
Likes Received
858
Likes Given
328

Default

Quote By klorokwini View Post
ina anti diabetic effect ( sikusudii anti shoga nakusudia anti ya ukinzani) halaf inasaidia kornea za macho kuna wengine wanafanya mpaka eye drop za kokwa za maukwaju (wapiga chabo wanaipenda sana), halaf ni nzuri kwa kudhibiti yale makolesterol.

Nikiposti laivu kutoka mzumbe department ya ukwaju, ni mimi dokta wenu klorokwini.

Thanks Dr Klorokwin. Na mie DR. Globu, yaani ulimwengu.
klorokwini likes this.

4. klorokwini's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd December 2009
Location : Pharmacy
Posts : 8,720
Rep Power : 7697
Likes Received
4933
Likes Given
7318

Default Re: matunda ya ukwaju.

Quote By Globu View Post

Thanks Dr Klorokwin. Na mie DR. Globu, yaani ulimwengu.
Karib sana! mwandikie prescription mgonjwa
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

5. Husninyo's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 24th October 2010
Posts : 22,414
Rep Power : 187394467
Likes Received
7702
Likes Given
4261

Default Re: matunda ya ukwaju.

Wapi dk riwa? Hawa siwaamini.
uporoto01 likes this.

6. Dena Amsi's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 17th August 2010
Location : Saayo
Posts : 12,263
Rep Power : 28516622
Likes Received
3511
Likes Given
1643

Default

Quote By Husninyo View Post
Wapi dk riwa? Hawa siwaamini.

Hata mie nimewashitukia aisee

7. MziziMkavu's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd February 2009
Location : European Union
Posts : 31,020
Rep Power : 429503220
Likes Received
18099
Likes Given
55535

Thumbs up Re: matunda ya ukwaju.

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.   Tunda la Ukwaju.
Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.

Juisi ya Ukwaju.

NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets

• andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu
• baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni
• uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu
• ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe
• andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
• weka sukari kwa kiasi unachopendelea
• pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste
• weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

chanzo: Faida za ukwaju
Last edited by MziziMkavu; 7th July 2013 at 07:59.
Only Do What Your Heart Tells You

Allah
Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

8. Spider's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 13th February 2011
Location : Mwanza
Posts : 739
Rep Power : 628
Likes Received
55
Likes Given
6

Default

Quote By klorokwini View Post
ina anti diabetic effect ( sikusudii anti shoga nakusudia anti ya ukinzani) halaf inasaidia kornea za macho kuna wengine wanafanya mpaka eye drop za kokwa za maukwaju (wapiga chabo wanaipenda sana), halaf ni nzuri kwa kudhibiti yale makolesterol.

Nikiposti laivu kutoka mzumbe department ya ukwaju, ni mimi dokta wenu klorokwini.

Asante sana mkuu.

9. Spider's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 13th February 2011
Location : Mwanza
Posts : 739
Rep Power : 628
Likes Received
55
Likes Given
6

Default

Quote By MziziMkavu View Post
Faida ya Matumizi ya ukwaju
Ina ukwaju, pamoja na asidi% kati ya 16-18,

ikiwa ni pamoja na asidi citric na vinsyra na

malic na vifaa vya kufanya Afsip na CITRATE

potasiamu na chumvi za madini kama vile

fosforasi, magnesiamu, chuma, manganese,

kalsiamu, sodiamu, klorini na mengine, ina

ukwaju vitamini B-3 kama vile mafuta muhimu

na misombo muhimu Geraniel na LIMONENE

kama vile pectin na mafuta na sukari.

Faida kubwa zaidi ya ukwaju ..

- Masomo ya karibuni imeonekana vyenye

antibiotics ukwaju uwezo wa ukatili wa mengi

ya aina tofauti bakteria, hii ni karibu na

faida ya laxative na kupambana na asidi ya

tumbo.

- Alikuja katika ukwaju na ilivyoelezwa katika

Papyrus Pharaonic Oiprz ndani ya matibabu

na dawa kwa ajili ya kufukuzwa na mauaji ya

minyoo katika tumbo.

- Matumizi ukwaju laxative juisi nzuri na

chilled na refreshing faida kwa kesi za

kuvimbiwa na matatizo ya INTESTINAL na

uvivu.

- Kutokana na kuwepo kwa asidi na madini

katika kunywa ukwaju, ni muhimu katika

kupiga vita damu ya acidity ziada, na

kufukuzwa ya yaliyomo ya sumu ya.

- Wapi na kunywa ukwaju ina idadi ya

antibiotics, unaua idadi ya aina ya bakteria

na kwa hiyo kutakasa mwili kutoka vidudu.

- Add ya ukwaju kabla ya makampuni ya

madawa na madawa kwa ajili ya watoto

Kkhavd joto.

- Matumizi ya kinywaji laini ukwaju katika

kesi ya shinikizo la damu, kutapika,

kichefuchefu na maumivu ya kichwa.

- Kutumia ukwaju nchini India ili kuondoa

tumbo gesi na moisturize ya koo na laxative

mpole, na pia China kwamba anatumia ukwaju

kutibu kuhara damu na matibabu ya baridi na

kukosa hamu ya kula.

- Abu Bakr al-Razi kwa ajili ya ukwaju "juisi

ya ukwaju kukata kiu ya laini, baridi yake."

- Ibn Sina "Tamarind kufaidika na homa

kutapika, na kiu katika tumbo walishirikiana

na hawakupata wengi wa kutapika, njano na

rahisi ya kunywa kutoka Tbejh karibu na

chupa ya mlo faida nusu."

- Ibn al-Bitar "Tamarind Ojodh laini fade

kwamba mapumziko na Haig Damu, laxative

na kunufaika na kutapika kiu, na kuwezesha

ya njano weasel kufaidika na homa ya

manjano na kunywa robo kilo."

- Daudi akasema Antiokia, "Tamarind baridi

kavu kuishi moto na nyongo bile kibofu cha

mkojo na chuki, damu, kutapika,

kichefuchefu, kuumwa na kichwa, na joto, na

upendo ikiwa nyumbani kupikia tumors mipako

na maumivu ya moto.

chanzo: http://www.jamiiforums.com/jf-doctor/84597-faida-za-ukwaju.html

Asante sana mkuu,nimekuelewa.
MziziMkavu likes this.

10. Kansime

Similar Topics

1. Replies: 21
Last Post: 6th December 2011, 05:01
2. Matunda
By Capitano in forum Jamii Photos
Replies: 2
Last Post: 22nd April 2011, 16:17
3. Faida za ukwaju
By MziziMkavu in forum JF Doctor
Replies: 20
Last Post: 6th November 2010, 02:06

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...