Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo bleed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili bleed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

Reply With Quote


Follow Us Here