Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kunani Wizara ya AFYA??

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,216
      Rep Power : 1932
      Likes Received
      218
      Likes Given
      277

      Post Wafiwa M'Nyamala wapozwa DIZELI

      Nimesoma ktk Mwananchi la leo kuwa wale wahanga wa kifo cha mama mjamzito na kichanga pale Mwananyamala Hosipitali wamelazimishwa kuhongwa dizel lita 120 za kusafirisha maiti, pia walitishwa kwamba wakikataa kufuta ile taarifa yao ktk vyombo vya habari watazuiwa kuchukua marehemu mpaka afanyiwe uchunguzi.... Pia walilazimishwa kumtaja aliyepeleka taarifa kwa umma kuhusu hiyo default. Behind all this yupo Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Noel Mahyenga. Hii ni aibu kwa serikali na ni KASHFA kwa Wizara ya Afya na Wizara ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Wanawake na Watoto....

      nimejitahidi kutafuta source yake online nimeikosa, kama kuna mtu anaweza kuscan ule ukurasa wa kwanza na wapili aweke hapa wanabodi wauone as source.....

      Ninafuatilia sana hizi takataka za wanaafya kwani kwa uzembe wao nimepoteza Binti yangu na marafiki zangu wengi wamkumbana na mikasa hii. Je wewe hili tatizo halijawahi kukutokea au hata kwa mtu unayemfahamu??? Tuchangie uzoefu hapa ili tulenge suluhisho.

      Naomba kuwasilisha
      Last edited by Msanii; 4th June 2008 at 10:20. Reason: title editing
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]


    2. #2
      kalld's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th June 2007
      Posts : 115
      Rep Power : 637
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Kunani Wizara ya AFYA??

      habari mchanganyiko


      http://www.mwananchi.co.tz/

    3. #3
      kalld's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th June 2007
      Posts : 115
      Rep Power : 637
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Kunani Wizara ya AFYA??

      ni sehemu ya maoni/uchambuzi! samahanini wakuu si habari mchanganyiko!

    Similar Topics

    1. Matokeo ya Wizara ya Afya
      By Forevertz in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 39
      Last Post: 20th October 2012, 08:54
    2. Nafasi za kaz wizara ya afya
      By Jeff in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 4
      Last Post: 6th December 2011, 09:09
    3. Onyo kutoka wizara ya afya:
      By sulphadoxine in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 16
      Last Post: 30th August 2011, 09:41
    4. Mwakyembe na Magufuli wizara moja; Je kunani?
      By Njowepo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 53
      Last Post: 24th November 2010, 18:51
    5. Wizara ya Afya Inavyowaua!
      By Mgoyangi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 13
      Last Post: 5th March 2008, 04:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...