Habari wandugu? Naomba madaktari waliopo hapa wanisaidie,hivi duniani humu kuna dawa ambayo ina uwezo wa kuzuia mhemko?( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa)

Uliwazalo ndilo utendalo. Ondoa mawazo huko, uwe bize na kazi zako, fanya mazoezi kila unapopata kishawishi, mwombe Mungu wako akupe nguvu.
Man is, but a product of his thoughts: what he thinks, that he becomes.
Mahatma, Ghandi
Duh wewe upo viceversa na mimi. Nahitaji mihemko kuendana na kasi na viwango vya mke wangu. Okey, tiba ni zoezi na akili. Fanya mazoezi na jitambue kwamba hutaki mambo ya ngono.
Ahsante
JANA SI NIMEKOSEA BOMA NIKAINGIA KWA MAMA MKWE, IMELEWA SANA JANA. CHIBOROIKWE IMECHOOOOKA SANA LEO!!
Follow Us Here