JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: new track: niko single

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 42
  1. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default new track: niko single

   [intro]
   Ni miezi kadhaa imepita niliposema �I do� kwa mke wangu.
   Hata mwaka haujaisha nshasema Goodbye.
   (Unh) chumba changu cha kulala kimepwayaaa
   Ulikijaza kwa tabasamu, kwa jinsi ulivokuwa charming�
   Na nnachotaka kusema ni..

   [kiitikio]
   Baby, ntakumiss
   Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
   Lakini kwa sasa it�s official.
   warembo, I�m single.
   Mkiniona mitaani,
   Msiogope kunisemesha,
   Nahitaji mwanamke mwingine
   niko single

   [verse 1]
   mpenzi nilikupa kila kitu ili ufurahi. (uhm yeaaah)
   nilikupa dunia yangu lakini ulitaka uonje vya nje.
   (Ooo ooo)
   Siwezi kuendelea kuwa na mtu
   Ambaye nikitoka naye anatoka.


   [kibwagizo]
   Ooooh Baby, ntakumiss
   Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
   Lakini kwa sasa it�s official.
   warembo, I�m single.
   Mkiniona mitaani,
   Msiogope kunisemesha,
   Nahitaji mwanamke mwingine
   niko single


   [bridge]
   mhhh sometimes nashikwa upweke (upweke sana) ((na-na-naaaa))
   na nnakuwa nahitaji mtu (ooo)
   wa kunifanya (huuuhhh)
   niseme� (ooo baby)
   Ooo Ooo Ooo baby (yeah e yeaaah)
   Yeah yeah (yeah e yeaaah)

   kweli Baby, ntakumiss
   Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
   Lakini kwa sasa it�s official.

   [verse 2]

   Kimoyomoyo ulikuwa unatamani siku ya kuachana ifike
   Huku ukijifanya hutaki tuachane.
   Ukajiliza kinafiki eti bado unanipenda
   Ni shetani tu (alikupitia�.)
   Kumbe mimba haikuwa yangu, nimelea miezi nane,
   Na sasa ukweli umejulikana�
   Baby!

   [kibwagizo]
   ntakumiss
   Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
   Lakini kwa sasa it�s official.
   warembo, I�m single.
   Mkiniona mitaani,
   Msiogope kunisemesha,
   Nahitaji mwanamke mwingine
   niko single


   [outro]
   (Ooo huuuh ooo baby)

   niko single
   (Yea e yeaaah)
   (Yea e yeaaah)

   (Ha! ) niko single
   (Oooh huuuh (uh-uh) oooh baby)

   Niko single
   (Yea e yeaaah)
   (Yea e yeaaah)


   Song: Niko Single
   Artist: C6
   Studio: Mtaawasaba Studios
   Last edited by UncleUber; 29th January 2013 at 14:23.


  2. Evelyn Salt's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Rock City
   Posts : 25,872
   Rep Power : 429502107
   Likes Received
   17430
   Likes Given
   13722

   Default Re: new track: niko single

   Nakusaidia dedication nyingine "sitaki demu"
   CC: charminglady

  3. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Nakusaidia dedication nyingine "sitaki demu"
   CC: charminglady
   kwani nimesema iyo ni dedication? ww Evelyn Salt umekuwa juma necha? hehheee

  4. #4
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29103

   Default

   Halafu wewe...!!!

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Nakusaidia dedication nyingine "sitaki demu"
   CC: charminglady

  5. #5
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29103

   Default Re: new track: niko single

   mkwe naona hii mambo imekuwa ngumu...


  6. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By watu8 View Post
   mkwe naona hii mambo imekuwa ngumu...
   mkwe japo mimi na binti yako imeshindikana, na imani tutaendelea kuwa pamoja maana siwezi kutupa jongoo na mti wake,

  7. Evelyn Salt's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Rock City
   Posts : 25,872
   Rep Power : 429502107
   Likes Received
   17430
   Likes Given
   13722

   Default Re: new track: niko single

   Quote By C6 View Post
   kwani nimesema iyo ni dedication? ww Evelyn Salt umekuwa juma necha? hehheee
   Imekaa kidedikesheni...

   Quote By watu8 View Post
   Halafu wewe...!!!
   Sina nia mbaya wala!!!!

  8. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Imekaa kidedikesheni...   Sina nia mbaya wala!!!!
   nilikumiss bibie Evelyn Salt, hope ntakuona kule jukwaa lingine, coz im baaack

  9. #9
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29103

   Default

   khaa yaani mkwe hizi taarifa zilinitetemesha hadi magego...ila ndio hivyo,dunia hadaa walimwengu shujaa...
   ushirikiano ndio jambo la heri...

   Quote By C6 View Post
   mkwe japo mimi na binti yako imeshindikana, na imani tutaendelea kuwa pamoja maana siwezi kutupa jongoo na mti wake,

  10. Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29103

   Default

   teh teh teh!!!....hivi ndoa yako ipo au haipo maana kama mumeo simuelewi hivi???

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Sina nia mbaya wala!!!!

  11. Myakubanga's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Location : Dynamic
   Posts : 5,662
   Rep Power : 1220895
   Likes Received
   1054
   Likes Given
   1119

   Default Re: new track: niko single


  12. Evelyn Salt's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Rock City
   Posts : 25,872
   Rep Power : 429502107
   Likes Received
   17430
   Likes Given
   13722

   Default Re: new track: niko single

   Quote By C6 View Post
   nilikumiss bibie Evelyn Salt, hope ntakuona kule jukwaa lingine, coz im baaack
   Jukwaa la siasa lina mambo sana, yani siasa za bongo ni sawa na kuangalia katuni.....

  13. Evelyn Salt's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Rock City
   Posts : 25,872
   Rep Power : 429502107
   Likes Received
   17430
   Likes Given
   13722

   Default Re: new track: niko single

   Quote By watu8 View Post
   teh teh teh!!!....hivi ndoa yako ipo au haipo maana kama mumeo simuelewi hivi???
   Tulifunga ya kimila, mme wangu hataki kusimama mbele za watu ana aibu sana!!!!!

  14. Donn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2012
   Posts : 2,419
   Rep Power : 3077
   Likes Received
   956
   Likes Given
   478

   Default Re: new track: niko single

   Aisee... Huu wimbo ukiedit kidogo tu unaweza pata credita na kuwa wimbo wa taifa wa C.C.B @C6

  15. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Eliah G Kamwela View Post
   kafanyaje?

  16. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Jukwaa la siasa lina mambo sana, yani siasa za bongo ni sawa na kuangalia katuni.....
   ila si unapita pita japo mara moja moja, maana uwa nakoshwa na comment zako

  17. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Donn View Post
   Aisee... Huu wimbo ukiedit kidogo tu unaweza pata credita na kuwa wimbo wa taifa wa C.C.B @C6
   remix ntawashirikisha Erickb52 na Chimbuvu iyo itakuwa anthem

  18. Myakubanga's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Location : Dynamic
   Posts : 5,662
   Rep Power : 1220895
   Likes Received
   1054
   Likes Given
   1119

   Default

   Quote By C6 View Post
   kafanyaje?
   Naona kama kuna ka chance ka twiga kuingiza kichwa chake kwenye kaya...!!!

  19. Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29103

   Default Re: new track: niko single

   sasa mbona mumeo Slave anatoa tuhuma eti mahari imeliwa???

   Quote By Evelyn Salt View Post
   Tulifunga ya kimila, mme wangu hataki kusimama mbele za watu ana aibu sana!!!!!
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  20. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807726
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Eliah G Kamwela View Post
   Naona kama kuna ka chance ka twiga kuingiza kichwa chake kwenye kaya...!!!
   komaa, one mans trash, another mans treasure


  Page 1 of 3 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...