JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 28 of 28
  1. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,392
   Rep Power : 1304148
   Likes Received
   6896
   Likes Given
   6085

   Default Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   1.Mzimu wa Sharomilionea wamtokea
   King Majuto.

   2.Mzimu unaotafuna Bongo movies haujamaliza Kazi,baada ya kuikosa Roho ya Vengu na Sajuki sasa waisaka
   roho ya JB NA RAY

   3.Masele Chapombe hausishwa na kifo cha Sharo.

   4.Mzimu wa Sharo wamtokea prodyuza
   wa Mac Media

   5.Kumbe Sharo kaponzwa na ubishi? Alivunja moja ya shart la freemason

   6.Mzaz wa Sharo amtaja mbaya wa kifo cha Mwanae

   7.Shetani lililotoa roho ya Mafisango ndo
   katoa roho ya Sharo

   8.Ajal ya sharo mauzauza kibao,king Majuto ahusishwa.


   9.Ndugu wa sharo wagombania pamba za Marehemu.

   10.Kiatu alichopata nacho ajali SHARO
   chaonekana Baharini.

   11. Mwanamke aibuka adai ana mimba ya Sharo. Mwingie aleta mtoto.


  2. Angel Msoffe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2011
   Location : Tanzania
   Posts : 6,624
   Rep Power : 2007
   Likes Received
   1508
   Likes Given
   68

   Default Re: Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   Sharo akutana na kanumba

  3. Blaine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2012
   Location : beacon hills
   Posts : 2,282
   Rep Power : 17789
   Likes Received
   1633
   Likes Given
   789

   Default Re: Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   Nicas Mtei, charminglady na Madame B mmenivunja mbavu kwa kweli . najua ni udaku tuu lakini at times haya magazeti hunichefua sana wanapo-take kifo kimzaha kiasi hiki. no doubt heading kama hizo zitatumika ili kuuza nakala bila kujali hali ya wafiwa/ndugu
   Lone Beta of Beacon Hills

  4. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 16,784
   Rep Power : 429500253
   Likes Received
   10750
   Likes Given
   12570

   Default

   Quote By Blaine View Post
   Nicas Mtei, charminglady na Madame B mmenivunja mbavu kwa kweli . najua ni udaku tuu lakini at times haya magazeti hunichefua sana wanapo-take kifo kimzaha kiasi hiki. no doubt heading kama hizo zitatumika ili kuuza nakala bila kujali hali ya wafiwa/ndugu
   mkuu... tena cha ajabu unakuta heading haziendani kabisa na content....
   Blaine likes this.

  5. adakiss23's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2011
   Posts : 2,508
   Rep Power : 16324841
   Likes Received
   654
   Likes Given
   403

   Default Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   Dili lingine la Shigongo. Global Publishers watakuwa washatua tanga saa hizi.. Kutengeneza hela kwa migongo ya wengine. Mungu awasamehe 2!

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Brave_Hearts

  6. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 16,784
   Rep Power : 429500253
   Likes Received
   10750
   Likes Given
   12570

   Default

   Quote By adakiss23 View Post
   Dili lingine la Shigongo. Global Publishers watakuwa washatua tanga saa hizi.. Kutengeneza hela kwa migongo ya wengine. Mungu awasamehe 2!

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   kufa kufaana mkuu!!


  7. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,360
   Rep Power : 118916218
   Likes Received
   3466
   Likes Given
   1888

   Default Re: Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   Kamanda Nicas Mtei umemaliza kila kitu hebu wapelekee na kule fb kwenye tanuru

  8. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,392
   Rep Power : 1304148
   Likes Received
   6896
   Likes Given
   6085

   Default

   Quote By Remote View Post
   Kamanda Nicas Mtei umemaliza kila kitu hebu wapelekee na kule fb kwenye tanuru
   Kule kwa washenzi. Nshajitoa mle siku nyingi

  9. kabanga's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 21,421
   Rep Power : 429501199
   Likes Received
   7172
   Likes Given
   1480

   Default Re: Magazeti ya udaku yatakavyoandika baada ya kifo cha Sharo Milionea.

   kesho utaanza kuviona.... kisha global publishers waongeze faida kama walivyopata kwa kanumba....


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...