za sa hizi wanajamvi wazima ninyi? Mi nataka kujua kitu kutoka kwenu nahitaji kujua ivi unahisi beibe nasty a.k.a jg'S wife anamuonekano upi? N atakua mtu wa aina gaani?
Nawasilisha.
za sa hizi wanajamvi wazima ninyi? Mi nataka kujua kitu kutoka kwenu nahitaji kujua ivi unahisi beibe nasty a.k.a jg'S wife anamuonekano upi? N atakua mtu wa aina gaani?
Nawasilisha.
Na mm naruhusiwa kuguess??!
@st paka mweusi...u almost nailed it..gv t another try with very minor corrections here n there....
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
sweetlo have u seen my comment? mbna umei-skip?
Me nahisi mdogo mdogo flani hivi. Si mweupe wala si mweusi.
Unasoma chuo hapa jijini,unaishi cnza,maji ya kunde unapenda kuckiliza taarabu mtu wa vigodoro, mmmmhhhhh sio mnene sana umejazia nyuma unarizisha mtu mwenye hasira sana,...una vigimbi hata ukiwa mwana riadha usain bolt hakukamati...............bhaaa aaaassssssss
Its ney once again
Follow Us Here