JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

  Report Post
  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
  Results 81 to 100 of 110
  1. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,100
   Rep Power : 87995660
   Likes Received
   24660
   Likes Given
   13382

   Default The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Ya kwangu nambari moja itakuwa ni: "Lulu Iko Mbinguni"

   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com


  2. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2007
   Posts : 9,399
   Rep Power : 16998
   Likes Received
   2955
   Likes Given
   11111

   Default

   Shem nimekumiss kweli,

   [QUOTE=Passion Lady;6182660]
   Quote By manoah View Post
   Nikiziangalia mbiguu ni kazi ya mikono yake...[/QUOTEku


   kumbe na wewe
   umo shem wangu?inapendeza!!!

  3. Passion Lady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2012
   Posts : 8,269
   Rep Power : 93416118
   Likes Received
   4154
   Likes Given
   6140

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   [QUOTE=manoah;6186056]Shem nimekumiss kweli,


   shem darlng hulali?
   cha kunimiss usiku huu?
   ​whre z mimisa?!!

  4. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2007
   Posts : 9,399
   Rep Power : 16998
   Likes Received
   2955
   Likes Given
   11111

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   my shemeji yangu mpenzi Passion Lady mie nimekumiss sana, inabidi tupange siku nyingine twende tukatembelee kule mahali mimisa mie sijui habari zake

  5. Passion Lady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2012
   Posts : 8,269
   Rep Power : 93416118
   Likes Received
   4154
   Likes Given
   6140

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   [QUOTE=manoah;6186095]my shemeji yangu mpenzi Passion Lady mie nimekumiss sana, inabidi tupange siku nyingine twende tukatembelee kule mahali mimisa mie sijui habari zake[/QUOTE

   we manoah
   unajipenda kweli?
   kucha zako unapenda ubaki nazo?
   shaurilooo!!

  6. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2007
   Posts : 9,399
   Rep Power : 16998
   Likes Received
   2955
   Likes Given
   11111

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   mie, hakuna mtu mwenye uwezo wa kunifanyia baya, na atakae jaribu, ukoo wake wote utateketea hata nzi wa maeneo jirani na mmbu hawato salimika, na ukame wa hatari mahali walipo zaliwa, umesikia shemeji yangu mpenzi Passion Lady


  7. Passion Lady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2012
   Posts : 8,269
   Rep Power : 93416118
   Likes Received
   4154
   Likes Given
   6140

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Quote By manoah View Post
   mie, hakuna mtu mwenye uwezo wa kunifanyia baya, na atakae jaribu, ukoo wake wote utateketea hata nzi wa maeneo jirani na mmbu hawato salimika, na ukame wa hatari mahali walipo zaliwa, umesikia shemeji yangu mpenzi Passion Lady

   chezea kwingine
   sio kwa Ruttashobolwa atii!

  8. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 25,729
   Rep Power : 429502116
   Likes Received
   14710
   Likes Given
   30237

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct...20t8Hq6jk_ljhw

   Quote By King'asti View Post
   Nyimbo za tenzi na kitabu cha kilutheri huwa zinanipa faraja kweli. Bila kusahau nyimbo za wasabato
   Huu wimbo:
   MUNGU AMENIHURUMIA
   TENDO HILI KUBWA SANA
   SIKUSTAHILI JAMBO HILI
   NIMELIPATA BURE TU
   SASA NAJUA HAYA YOTE
   NASIFU HURUMA YAKE
   huwa nikiuimba na machozi yananitoka.

   Kuna wimbo wa kisabato unaitwa U MWENDO GANI NYUMBANI. huu sijaupata kwenye audio kwa hiyo naughani akapela.
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  9. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 25,729
   Rep Power : 429502116
   Likes Received
   14710
   Likes Given
   30237

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   umeona eeeh.

   Quote By Passion Lady View Post

   hahahaaaa!
   hapo Mr Rocky
   anahusika bishaaaa!!!
   vumilia tu ndio dunia!
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  10. Fixed Point's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 11,323
   Rep Power : 429499315
   Likes Received
   12642
   Likes Given
   12793

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   mimi jamani huu wimbo kama nimechanjiwa, lol!
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect


  11. Paul S.S's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2009
   Location : Bongo
   Posts : 5,635
   Rep Power : 9949
   Likes Received
   2031
   Likes Given
   1595

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post

   Uliniumba Nikuabudu- the most theologically profound song..
   Quote By Swts View Post
   Ule wastahili sifa za moyo wangu..nakuabudu ee Mungu wangu..nakuabudu Ee Yesu anapenda kuuimba Mwl Mwakasege.
   Sijui muimbaj nani
   Mzee Mwanakijiji Natumaini unazungumzia Ule wimbo unaimbwa kwenye kuabudu ktk semina za Mwakasege na si Angela Chibalonza
   Naupenda sana wimbo huu lakini sijui nitaupata wapi, nimegoogle sana na kuuliza kwa wauzaji bila mafanikio
   Tunataka mabadiliko bora, na si bora mabadiliko

  12. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965469
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   hata huu nao...
   "Maajabu ya Mungu" mt cesilia mererani

  13. #92
   SG8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Location : DSM
   Posts : 2,905
   Rep Power : 4378
   Likes Received
   947
   Likes Given
   884

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   The late Fanuel Sedekia....Manukato, Angela Chibalonza- Ebenezer, Emachichi- Iende mbele injili
   "Show your mind, not your behind"

  14. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,100
   Rep Power : 87995660
   Likes Received
   24660
   Likes Given
   13382

   Default

   Quote By SG8 View Post
   The late Fanuel Sedekia....Manukato, Angela Chibalonza- Ebenezer, Emachichi- Iende mbele injili

   Zile za Ulyankulu Barabara ya 13 haziingii kwenye kumi bora?

  15. Wa kusoma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2011
   Location : TANZANIA
   Posts : 1,479
   Rep Power : 721
   Likes Received
   443
   Likes Given
   64

   Default

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Zile za Ulyankulu Barabara ya 13 haziingii kwenye kumi bora?
   Nina album yao yote, zile nyimbo huwa hazichuji aise, kwangu mm akitoka nanihiiii zinafuata hizi.

  16. lyinga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2013
   Posts : 2,516
   Rep Power : 171803050
   Likes Received
   941
   Likes Given
   2138

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Nyimbo za noteni zimepangiliwa sauti wameimba kwa ustadi napenda sana sauti zao walivyozipangilia wako vizuri km kkkt kimara, kkkt kwaya kuu sinza na nyinginezo

  17. amaizing's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2013
   Location : sweet home
   Posts : 889
   Rep Power : 71517718
   Likes Received
   314
   Likes Given
   308

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Ndivyo ulivyo-rose muhando

  18. VeronicaAmadu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th May 2011
   Posts : 80
   Rep Power : 555
   Likes Received
   37
   Likes Given
   1004

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Christina Shusho "Thamani ya wokovu wangu", "Nipe macho," "Napenda".

   Upendo Kilahiro "salama rohoni mwangu"

   Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

  19. Jerrymsigwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd June 2012
   Location : ABORIGINAL LAND
   Posts : 8,747
   Rep Power : 113344745
   Likes Received
   3152
   Likes Given
   2724

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Nyimbo za Rc(zamani) ndio ziko powa n sabato, hayo mengine ni dansi za mapepo tu
   Intelligence is like underwear, it is important that you have it, but not necessary that you show it off (Anonymous, 2014)

  20. SG8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Location : DSM
   Posts : 2,905
   Rep Power : 4378
   Likes Received
   947
   Likes Given
   884

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Zile za Ulyankulu Barabara ya 13 haziingii kwenye kumi bora?
   Mkuu hizo tena? Ninazo album zao nne..Kwa viumbe vyote, Mwenye Mamlaka, Heri Uliyesamehewa,Fahari ya vijana...kwa kweli wale watu...
   "Show your mind, not your behind"

  21. Tanganyika jeki's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th June 2011
   Posts : 242
   Rep Power : 581
   Likes Received
   75
   Likes Given
   2

   Default Re: The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

   Unitetee wa Upendo Nkone


  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...