Last edited by zubedayo_mchuzi; 28th August 2012 at 08:25.
My mpenzi by the time akiwa kwenye vazi la chupi ndiyo nasuuzika zaidi .
Shati la Kikwete lenye Maua Maua hili ndio la kwanza kuona limevaliwa na Mwanaume wakati wa Sensa
My hubby ukivaa kikoi basiii
huz MtotoSix ukivaa ile nguo yako ya kuogea huwa nachachawa mwana wa mwenzio!
charminglady mpenzi hakuna vazi nnalolipenda kama kile ki sexy Lingerie unachokivaaga usiku, yani uwa napatwa mshawasha usio wa kawaida najikuta nakupenda mara mia zaidi,
Toupee![]()
Jamani me my mpenzi avae naninuuuuuuu bwana!
mini skirt bhaaaaac!
1. Kikoi
2. Kigauni
mambo yote khanga moja.....lol
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
suti ya pinki
slow down slow down i'm on the wright direction
Sarawili rangi ya orange!
Du!!Hapa mnawapenzi ndio maana mnataja vazi!Sisi tunaotafuta nahatuna kwasasa mnatufanya tuweweseke tu!Jamani natafuta mpenzi wakike,mrefu wastani,white awe naunyele ulioshiba,macho yakungu pia awe naka-aibu fulani hivi!Msaada jamani!
Suti, tena koti liwe la kihehe (oversize)
Follow Us Here