heshima mbele wanajamvi. . . napenda kuwakumbusha wanakamat kuwa kikao cha mwisho kitafanyika trh 26/9 fyatanga bar. mmwnyekiti Madame B, katibu@ruttashobolwa,mapambo beibe nasty na gfsonwin, chakula cacico na sweetlady, picha mnato Asprin, video BAK na mtotowamjini, ulinzi Judgement na platozoom, vinywaji Kaizer na Remmy, nasaha madame AshaDii, usafiri Amsterdam na Bishanga. wajumbe pia mnakumbushwa kuhudhuria bila kukosa.


Reply With Quote

BAK ujue kua video tunaanzia wakati bibi harusi yuko salon akitoka hapo wakati anajitayarisha anapambwa na kuvaa weddin dress yaani hapo ni full mpaka anaingizwa kwenye gari.. Sa hamjatuambia harusi itafanyika kanisani serikalini au wapi?!!

Follow Us Here