wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na ushauri mzuri ni MMU.....Ongeza na wewe..... []

Hapo kwenye siasa naunga mkono hoja hata MMU
Kusiko na ban kabisa na stress za maisha......Jukwaa la Utambulisho.
Eti jukwaa la siasa wanakonda,presha NO????????
Bado cjakubali hili la jukwaa tajwa!
Ngoja wadau wako kwenye kusherekea Eid Mubaraka waje!
nitafute jukwaa la kimataifa huko huwa ninamwaga ung'eng'e mwanzo mwisho...wala huwezi kutana na magubegube au vile vitoto vinavyouliza maswali ya chumbani jukwaa la utambulisho
hebu check post kama hii kwa link
http://www.jamiiforums.com/mahusiano...ml#post4460981
Last edited by watu8; 19th August 2012 at 21:25.
mkuu LiverpoolFC wewe mwenyewe ni mzoefu wa jukwaa la siasa... Kama mgeni unaweza kufikiri nchi imeuzwa yote,kikwete anaishi ulaya,malawi wamevamia nchi, waraabu wamepakia, twiga wote mbugani,makinda hajui kabisa kanuni za bunge,Majaji wote ni voda fasta,waislam wamechachamaa vibaya, lowassa ndio rais jk kivuli tu,Chadema ndio wanaongoza nchi na ccm ndi wapinzani,Nappe amechanganyikiwa...........men gine utajazia mwenyewe.!!!
Ndo umegundua leo?
Naunga mkono. Jukwaa la daktari ni la wagonjwa na wanataka msaada wa haraka.
Follow Us Here