wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, [b]kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia sikukuu njema
wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, [b]kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia sikukuu njema
Mmmmmh mpaka ban na burn ya Wakati ni sasa iishe, atakuta hana lake
Yetu macho, walishajitangaza wengi sana hapa,yakiwashinda hawarudi kutangaza tunayaskia mtaani!! All the best!
shost unajua hakuna raha kupendwa na unayempenda eeeh! afu wns nlikuwa simfeel hata ukucha lakn MtotoSix wee asikwambie mtu lait kama ungeupasua moyo wangu wangu unaona alivoujaza!!!!!
kuja kwa mama sio jambo dogo. ila muda si mrefu ntafika kwa measkron ajue jinsi nilivyodondoka kwa bintiye charminglady
mhh.!!!
dah,natamani uongozi wa jf umuachilie huru wakati ndio sasa a.k.a Time is now (TIN) ili nione move inaishia wapi. charminglady hufanyi fresh yule kijana kweli anamapenzi ya dhati.think twice
Aisee uyu dogo kalambwa ban kwa sababu gani nilikiwa sijui. Saaa mbonankama
Zengwe hili BADILI TABIA
hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu
Follow Us Here