kwa walio macho karibuni tuchati
kwa walio macho karibuni tuchati
mambo....
Mzymer?
Me niko pouwer.
Lete mpya....
poa niko mzima ila mpweke lol na ucngizi umekata
Soon hivi ndo tumemaliza kula nyumba! (sijui napo itakua lugha ngumu)
Yeye mwenza hajalala naona anapaka hina.
Afu hapo juu uliposema nimeongea lugha ngumu , najua palipokumix ni "meji kusa'andama" fafanuo hicho ni kiswahili kilicho na pronunciation au miondoko ya kidosi, "mwezi umeshaandama" wao hutamka meji kusa andama!
Wapi pengine penye mushkel ?
Judgement njoo tumalizie ukaribisho wa Idd hapa Maisha Club.
Mwenzangu kama umevaa hvo usitie maguu,
kwani utaonekana upo against nao.
Umejiandaaje na Idd Judgement?
karibu Maisha Club Mentor!!
Ur'e welcome.
Follow Us Here