Naombeni Mbinu za Kuishi
na Mtu Mwenye Roho
Mbaya
Maana Nimechoka Sasa
Nisaidieni Wandugu Plz........
Naombeni Mbinu za Kuishi
na Mtu Mwenye Roho
Mbaya
Maana Nimechoka Sasa
Nisaidieni Wandugu Plz........
Ana roho mbaya ki vipi? Kuwa specific ili ushauriwe accordingly.
Aidha siku zote msaada utolewapo obviously udhati hua attached ! Hence haupo msaada usio wa dhati .
Pili huyo roho mbaya , kumaliza issue kama wa kike nawe wa kiume muwoe. Ikishakua wamdropisha kabati muda uutakao roho mbaya yake ataipeleka kurasini shimo la ........ .
Kama mko gender moja jibu sijui .
....Njia rahisi ni kumwekea miziki ya mipasho!
Ha aha aha aha ah
Life is like video footage Hard to edit directors,that never understood it
Ishi naye kwa maombi,mshirikishe mungu,mwombe mungu akupe maarifa na akutangulie ktk kuishi naye
Ishi nae vyovyote utavyoweza. Hakuna formular.
Follow Us Here