Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: mwenzenu nimefiwa na bibi

    Report Post
    Page 6 of 6 FirstFirst ... 456
    Results 101 to 113 of 113
    1. #1
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default mwenzenu nimefiwa na bibi

      Nasikitika kuwataarifu wana cc kuwa Bibi yangu kizaa Baba amefariki leo.Bibi ambaye alikua na umri mkubwa unaotazamiwa takribani mwiaka ipatayo 80 amefariki kwa uzee katika kipindi ambacho bado tunamuitaji,ilikua ni kawaida yake kwa kila tuendapo likizo alipenda kutuambia kuwa "nadhani hamta nikuta".Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.R.I.P BIBI YANGU KIPENZI.

    2. Miaka 50

    3. #101
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: mwenzenu nimefiwa na bibi

      Quote By Ruhazwe JR
      ahsante sana Remmy, mzima lakin?
      Mie Nina mipresha my love B52 anaoa kaniacha na mtoto mdogo.

    4. #102
      The secretary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 2,728
      Rep Power : 19053
      Likes Received
      1459
      Likes Given
      129

      Default

      Quote By Ruhazwe JR
      nshapoa mkuu Albedo
      Mi na maabuba wangu tunakupa pole

    5. #103
      charminglady's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 8,863
      Rep Power : 17532
      Likes Received
      4889
      Likes Given
      5322

      Default

      Quote By Ruhazwe JR
      nshapoa charminglady mzima lakini? Nimefurah kukuona tena
      ndo nimerudi ndugu yangu! ntaji-explain kwny nyu thread

    6. #104
      BAGAH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 4,363
      Rep Power : 8786
      Likes Received
      954
      Likes Given
      1418

      Default Re: mwenzenu nimefiwa na bibi

      pole sana rafiki,
      RIP bibi yetu!

    7. #105
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,696
      Rep Power : 11282
      Likes Received
      1481
      Likes Given
      570

      Default Re: mwenzenu nimefiwa na bibi

      Bibi yetu Mwenyezi MUNGU amlaze mahala pema peponi!

      TULIMPENDA ILA HAKIKA MWENYE UWEZO KTK MBINGU NA NCHI ALIMPENDA ZAIDI!

    8. RukaaJuu Final

    9. #106
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 12,466
      Rep Power : 28585
      Likes Received
      8076
      Likes Given
      5877

      Default

      Quote By Ruhazwe JR
      emu njoo unilaze msibani,hapo baa unatafuta nini?
      Navunja jungu la kufungulia Ramadhani.
      Nitakuja msibani asubuhi.

    10. #107
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By Remmy
      Mie Nina mipresha my love B52 anaoa kaniacha na mtoto mdogo.
      no! Erickb52 hawezi kukuacha kirahisi hvyo kwa kua wewe kwake ni zaidi ya kitu chochote,naamin yupo bize kutafuta chapa siunajua tena life is hard we must be harder!

    11. #108
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By charminglady
      ndo nimerudi ndugu yangu! ntaji-explain kwny nyu thread
      umerudi kipindi ambacho wakati ndio sasa kapigwa ban!inanipa mashaka

    12. #109
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By BAGAH
      pole sana rafiki,
      RIP bibi yetu!
      nshapo mkuu wangu bagaN .bibi ndio hivyo kaisha tangulia bado sie

    13. #110
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By LiverpoolFC
      Bibi yetu Mwenyezi MUNGU amlaze mahala pema peponi!

      TULIMPENDA ILA HAKIKA MWENYE UWEZO KTK MBINGU NA NCHI ALIMPENDA ZAIDI!
      amen!jina la bwana libalikiwe

    14. #111
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By Madame B
      Navunja jungu la kufungulia Ramadhani.
      Nitakuja msibani asubuhi.
      uje na ile nyavunyavu yako alafu ndan usivae pichu,au sio

    15. #112
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: mwenzenu nimefiwa na bibi

      Quote By Ruhazwe JR
      no! Erickb52 hawezi kukuacha kirahisi hvyo kwa kua wewe kwake ni zaidi ya kitu chochote,naamin yupo bize kutafuta chapa siunajua tena life is hard we must be harder!
      Basi hujaliona tangazo la kuahirishwa kwa harusi yake na Preta.

    16. #113
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,484
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4303
      Likes Given
      1248

      Default

      Mfiwa!

      Quote By Ruhazwe JR
      uje na ile nyavunyavu yako alafu ndan usivae pichu,au sio

    Page 6 of 6 FirstFirst ... 456

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...