Mfano unababu yako ambaye ni tajiri sana. Katika dakika zake za mwisho karibu anakata roho anakuita. Anakwambia mjukuu wangu, nimekuachia milioni 100 kwenye kwe.. K....nye .. Kwe..... alafu anakata roho.... Utafanya nn?

mh!
mimi ni mbovu kwenye haya mambo yakufikirika!
nawapisha wengine.
Na mi najiua ili tukutane juu kwaju. anieleze pesa zilipo.
dah ntaomba afufuke aniambie af afe tena kwa maana akibaki zitakuwa sio urithi
ASIYEUMBA HAUMBUI
duh... Unajitoa roho tena Madame B
Hapa utata unautolea wapi ? Wewe ndo unau'create by force uwepo! Utaniuliza kivipi? Kihivi - huyu keshakufa hajasema! Dismiss case !
What do you do ? Ili umfufue aseme?
Everforever ! You can't !
Na haina maana pesa imepoteza value, no no ! Tafuta hayo mavumba pasina hitajio la msaada toka deceased!
Mtu na pesa ni nini cha maana. pesa utatafuta kwani yeye alizipata wapi.
mi ningeenda kucheki chini ya mvungu wa kitanda vyungu vyake au kibwebwe cake
SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI
ningejisahaulisha tu, kisicho rizki hakiliki
Follow Us Here