Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 31
    1. #1
      Kijana Juzi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th August 2010
      Posts : 241
      Rep Power : 491
      Likes Received
      76
      Likes Given
      40

      Default Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Habari wana JF?? Kwa kuwa kumeibuka mtindo wa kukimbilia kwenye vyombo vya habari kutafuta ndugu hasa wanapokuwa na umaarufu (Mfano baba Diamond alikimbilia magazetini kumtafuta mtoto wake ambaye ni Diamond na pia mdogo wake Ray alienda EATV kumtafuta kaka yake ambaye ni Ray mwigizaji) Na kwa kuwa jamii forum ni website maarufu sana ndani na nje ya nchi wakiwemo na washiriki (members) wake, na mimi naomba kutumia fursa hii kusema kuwa upweke unanitesa, hivyo leo natangaza kutafuta ndugu zangu humu JF!!! Sina ndugu hata mmoja hivyo basi natafuta woote, so marafiki, wajomba, mashangazi, mabibi, mashemeji, kinababa na mama, wachumba pia mnakaribishwa!!! Nawasilisha, be free kujipendekeza mwenyewe!!!! Karibuni saaaana!!!
      BAGAH and ummu kulthum like this.
      One reason the dog has so many friends, he wags his tail instead of his tongue!

    2. Miaka 50

    3. #2
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,753
      Rep Power : 15106
      Likes Received
      7212
      Likes Given
      6886

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      umeanzia mbaaaaaali.....si ungesema tu unatafuta mchumba.....bibi, mjomba na ba mdogo watakutoa upweke gani.....?

    4. #3
      BAGAH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 4,363
      Rep Power : 8786
      Likes Received
      954
      Likes Given
      1418

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Mh! na uzee huo utapata unachokitaka kweli?
      labda wallet yako iwe bado under 40 yearz old...
      BTW hata mimi namtafuta mchumba wangu vivian
      kwa mara ya mwisho aliondoka geto mwaka jana mwezi kama huu...
      tulipovunja jungu pale NAMNAANI
      ....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...

    5. #4
      Meritta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2011
      Posts : 1,265
      Rep Power : 666
      Likes Received
      267
      Likes Given
      475

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      una gari aina gani? nymba yako ipo mitaa ya wap eeh mengine yataendelea
      BAGAH likes this.
      "Ni UPENDO tu"

    6. #5
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Hahahahahahahahahahahahaha
      yan umemsaidia sana!

      Quote By Preta
      umeanzia mbaaaaaali.....si ungesema tu unatafuta mchumba.....bibi, mjomba na ba mdogo watakutoa upweke gani.....?
      figganigga likes this.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,183
      Rep Power : 12009
      Likes Received
      2652
      Likes Given
      1583

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      si ungasema unamtafuta kala pina au chaz baba kwa kigezo cha undugu? mia

    9. #7
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,599
      Rep Power : 3333
      Likes Received
      1227
      Likes Given
      461

      Default

      Quote By Meritta
      una gari aina gani? nymba yako ipo mitaa ya wap eeh mengine yataendelea
      haaa.! Meritta usimkatishe tamaa mwenzio. Ungeuliza unabaiskeli ngapi,unapanda daladala ngapi kufika nyumbani angekuelewa.!
      Meritta likes this.

    10. #8
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1164
      Likes Given
      580

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      sisi sote ni ndugu kelele za nini?
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    11. #9
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 12,368
      Rep Power : 28565
      Likes Received
      7995
      Likes Given
      5842

      Default

      Quote By ummu kulthum
      sisi sote ni ndugu kelele za nini?
      Nashanga!!!

    12. #10
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1164
      Likes Given
      580

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Quote By Madame B
      Nashanga!!!
      warere! za usiku huu
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    13. #11
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 12,368
      Rep Power : 28565
      Likes Received
      7995
      Likes Given
      5842

      Default

      Quote By ummu kulthum
      warere! za usiku huu
      Tenyaaaa!!!
      Za usiku huu ni bomba tu shostiso,
      naona mambo ng'aring'ari.

    14. #12
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1164
      Likes Given
      580

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Quote By Madame B
      Tenyaaaa!!!
      Za usiku huu ni bomba tu shostiso,
      naona mambo ng'aring'ari.
      Taireeee!
      khe ulijuaje nipo powaaaa nipo kwenye maandalizi ya iddy
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    15. #13
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 12,368
      Rep Power : 28565
      Likes Received
      7995
      Likes Given
      5842

      Default

      Quote By ummu kulthum
      Taireeee!
      khe ulijuaje nipo powaaaa nipo kwenye maandalizi ya iddy
      Nakuona kwa jicho la pembeni.
      Hivi umemuona Kijana Juzi eti anatafuta ndugu.
      Hv tumpe nafasi gani mwaya?,
      Manake humu kila mtu ana pea shost.
      Kijana Juzi likes this.

    16. #14
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1164
      Likes Given
      580

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Quote By Madame B
      Nakuona kwa jicho la pembeni.
      Hivi umemuona Kijana Juzi eti anatafuta ndugu.
      Hv tumpe nafasi gani mwaya?,
      Manake humu kila mtu ana pea shost.
      asubiri newcomer au kama kidume avunje ndoa ya Asprin
      Asprin and Kijana Juzi like this.
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    17. #15
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,194
      Rep Power : 28903
      Likes Received
      11676
      Likes Given
      4819

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Mie kila nikikuona nahisi wewe ni babangu mzazi. Tukafanye DNA, wallah utani_refund ada kuanzia za chekechea!
      Kijana Juzi likes this.

    18. #16
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 12,368
      Rep Power : 28565
      Likes Received
      7995
      Likes Given
      5842

      Default

      Quote By ummu kulthum
      asubiri newcomer au kama kidume avunje ndoa ya Asprin
      Me n'tampa mdogo wangu beibe nasty.
      Asprin and ummu kulthum like this.

    19. #17
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,018
      Rep Power : 7211
      Likes Received
      2772
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By figganigga
      si ungasema unamtafuta kala pina au chaz baba kwa kigezo cha undugu? mia
      Hee! We Muheshimiwa umerejea kimyakimya?
      Ukitangaza msepo, na mrejeo pia !
      Sasa yule mrembo uliyeji'sacrifice nae umem'dump wapi ?
      figganigga likes this.

    20. #18
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Kweli jf nomaaaaaa!
      Umerudiiiiii teeeeeeeeenaaaaa

      Quote By figganigga
      si ungasema unamtafuta kala pina au chaz baba kwa kigezo cha undugu? mia

    21. #19
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 12,069
      Rep Power : 31811
      Likes Received
      5968
      Likes Given
      19435

      Default

      Quote By Preta
      umeanzia mbaaaaaali.....si ungesema tu unatafuta mchumba.....bibi, mjomba na ba mdogo watakutoa upweke gani.....?
      Ndoa yako ni lini eti.

    22. #20
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

      Quote By Preta
      umeanzia mbaaaaaali.....si ungesema tu unatafuta mchumba.....bibi, mjomba na ba mdogo watakutoa upweke gani.....?
      umemshtukia eh na hiyo avatar yake inavotisha hata dada angu siwezi mpa
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...