Wadau,Watakaohesabiwa ni wale watakaolala KWENYE KAYA usiku wa kuamkia 26/08/12
Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012 imeahirishwa hadi siku isiyojulikana, kutokana na sababu kuwa baada ya harusi tulipanga walale Honeymoon gesti inayoitwa Arusha-Raha...na hivyo zoezi la sensa lingewapita kushoto!
Wamekataa katakata na kusema bora waahirishe arusi kuliko kukosa sensa.
Wapeni ushauri zaidi!
Chanzo: Mimi ni mwanakamati!

Reply With Quote





Follow Us Here