Ndo nshaamua hivyo....
Leo si jumamosi? Liwalo na liwe, mwezi uandame au usiandame mie kurudi kwa mkoloni wangu ni mpaka Jumatanoooo....
Nimechoka kukaa huku kwenye lokesheni yangu ....si mwaijua eh?...
Nikaunganike na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho kujichana mamisosi ya Idi
Then nikimaliza niungane na washkaji zangu Bishanga, Kaizer, BAGAH na Erickb52 kudumisha mila....bila kujali chochote....
Wadada wapendwa, Catherine, Madame B, princess enny, ummu kulthum, gfsonwin na mwaJ tunawakaribisha mjiunge nasi kusheherekea Sikukuu ya Idi (mwezi utajiju usipoandama)...... Vigezo na masharti kuzingatiwa mambo yatakapotuzidia...
Kwaheri mkoloni wangu, karibuni washkaji zangu tujiruuuushe na tuserebuke!
Kwa mapeenzi na furaha wapenzi wangu ninawapa...Mkono wa Idiiiiiii!
Damn hivi leo jumangapi vile?




Reply With Quote


sasa hapo kwenye menu mbona kuna MIRINDA? nilifikiri mzee baada ya mwezi bila kitu ungeweka vitu flaani bariiiidiiiii vya kiutu uzima....
Follow Us Here