Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 48
    1. #1
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,800
      Rep Power : 11185
      Likes Received
      6989
      Likes Given
      5168

      Default Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Nilikuwa najua baba na mama ni ndugu. Kamwe sikujua kuwa ni watu kutoka koo mbili tofauti.

      Mama yangu mdogo alipo olewa, alivaa nguo nzuri sana. Mimi na wadogo zangu tukaletewa nguo nzuri sana kutoka ng'ambo.

      Hamu na kiu yangu sasa ikawa ni kuona mama naye akiolewa, ili apendeze na sisi tupate tena nguo toka ng'ambo.

      Nilipo ona mama anakawia kuolewa, nikamuuliza baba, mama ataolewa lini kama anti Tutti ili tuletewe nguo toka ng'ambo?

      Baba akafunguka, akasema yeye ndio mchumba wa mama, na tayari amesha muoa.

      Akaingia chumbani na kutoka na kitabu kikubwa. Akaanza kunionyesha picha zao za harusi. Nichukia sana.

      Hapo nilikuwa na miaka mitano tu.

      Je wewe unakumbuka ni kisanga gani ulichokifanya ulipokuwa mtoto?
      YNNAH likes this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Arabela's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 2,256
      Rep Power : 13605
      Likes Received
      1398
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Mentor
      Jaamani..huyo anko alikuonea tu.
      Sasa hivi umefikisha miaka mingapi??! :p
      yaani Mentor amenionea kweli angepotezea. Now 23

    4. #22
      Arabela's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 2,256
      Rep Power : 13605
      Likes Received
      1398
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By beibe nasty
      mmmmh sheshe la mwaka mume wangu jg nimecheka had tumbo laniuma


      Mi nina meng ila hebu skia hii nilikua na umri mdogo kama miaka mitano ivi mara nying nilikuan nasimamia harusi sasa siku hiyo nimesimamia harusi vizuri tuu ghafla aunt yangu akawa anpita ukumbin mi si ndo nikamuona bana nikamwita aunt kwa sauti tena nilikua namfuata pale ukumbin nikarudishwa nkaendelea na sherehe ila sasa kilichojiri kesho yake nilikula mkong'oto ka jambaz mtoto
      hahaha umenifurahisha.

    5. #23
      Arabela's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 2,256
      Rep Power : 13605
      Likes Received
      1398
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Mentor
      Basi kwa kuwa mm nmesahau nlikua na miaka mingapi nitatumia 6..
      Nlipokua na miaka sita..siku moja tumepika pilau ya haja na nyama ya kuku iliyorostiwa pembeni.
      Basi kwa mazoea tulivokua wadogo tunakulaga chakula kwanza then nyama mwishoni.
      Kwa bahati mbaya siku hiyo wakaja wageni bila taarifa wakatukuta tunakula. Ikabidi nao wakaribishwe walau waache baraka.
      Na kwa kuwa tulikua tushapakua tukawa tumemaliza nyama zote kwenye hotpot ila tulikua nazo kwenye sahani kama mbilimbili kila mtu.
      Kimbembe kilikuja tulipoambiwa tuwagawie wageni nyama moja moja..mimi ya ngu nikaificha nikadai imeisha.
      Tulipomaliza kula nikanyanyuka nayo sasa wakati napishana na mgeni pale akannigonga mkono bahati mbaya nkaangusha nyama yangu..nilipatwa na aibu.
      Af kama haitoshi wageni walipoenda kulala tu baba akanifuata..alinipigaje...mpak a nakumbuka ukutani pale nliandikaga i hate u daddy...dah ila ulikua utoto...
      I love my dad sioooo much.
      utoto raha

    6. #24
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,884
      Rep Power : 5054
      Likes Received
      3197
      Likes Given
      2619

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Bujibuji @ work

    7. #25
      Billie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2011
      Posts : 1,741
      Rep Power : 802
      Likes Received
      444
      Likes Given
      186

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Stori yangu kwa kweli ipo kipekee sana na ipo hivi;
      Katika age ya miaka 7 mwenzenu nilikuwa mtundu sana,Sasa siku moja nikauchokoza ugomvi mtaani nikakimbizwa hadi hadi kwetu bila breki nikaingia moja kwa moja hadi chumbani kwa wazazi aisee nikamkuta baba kavua nguo daa niliyoyaona kwa baba yalinishangaza sana kiasi kwamba nikakaa na ile image kichwan muda wa wiki mbili nzima natafakari nilichokiona for real sikuwahi kuona nyeti na manyoya yake za mtu mkubwa thats why nilibaki na maswali mengi sana kuhusu baba.
      Bila kusahau siku hiyo dingi alinichapa ila wakimuuliza kafanya nini anawajibu eti nimezidi kuzurura na kupigana ovyo ila mchapajwi nilijua what is the core problem.
      Last edited by Billie; 15th August 2012 at 23:09.
      Haven likes this.

    8. Study Abroad

    9. #26
      Billie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2011
      Posts : 1,741
      Rep Power : 802
      Likes Received
      444
      Likes Given
      186

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Ingine ni hii nakumbuka nilikuwa na miaka kama 8 au 9 hivi.Niliokota noti ya Tsh elfu 10 nikiwa njiani nimetumwa na mama enzi hizo ilikuwa ya blue kama sikosei,Sikujua uthamani wake enzi zile nikawaza nikiienda nayo kwa mama ataleta ishu za Leta nikushikie mwanangu alafu alikuwa ameshanizika hela kibao kwa mtindo huohuo coz hakutaka nizoee pesa mapema japokuwa nilikuwa na bahati nazo sana zilitokana na mimi kushika namba 1 kila mara darasani.Kabla ya kuingia getini nikaangalia kulia na kushoto alafu nikaifukia pembeni ya ukuta alafu juu nikaweka jiwe kama alama kisha nikampelekea mama vitu alivyonituma alafu nikaaga naenda kwa uncle aliyekuwa akiishi jiran pale mtaani.Nia yangu nikaichukue ile buku 10 alafu nikale bata.Daa nikakuta jiwe lipo pembeni kumbe wakati naifukia kuna muuza genge pale mtaani aliniona na akaja kuichukua kwa vile nilikuwa silijui hilo ikanibidi nianze kufukua ukuta kuanzia saa 3asubuhi hadi saa 8 na kusababisha shimo refu size ya kaburi la mtoto mdogo......uliza swali lolote kuhusu hatima ya kisa hiki ningekimalizia kuna kitu nakifanya so ntarudi.

    10. #27
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,552
      Rep Power : 5612
      Likes Received
      6210
      Likes Given
      2281

      Default

      Hahahhaaaa ulikuwa na hatari wewe kumfukuza mwenye nyumba hahahaha utoto raha sana

      Quote By Judgement
      True story niikumbukayo katika hili , nakumbuka nikiwa na 6 yrs.
      Kuna magari yalikua yakiitwa Factor films yakipita kila mkoa ama wilaya kwa mwezi mara 1 yakionesha sinema, na hiyo ndiyo siku ya mgao wetu tr. 23 monthly!
      Baba alishanipa warning mapema kua sitakiwi kwenda sinema siku hiyo kwakua mapema ya hiyo siku nilionekana nina symptoms za malaria.
      Warning ya Baba haikufanya kazi mi nikaenda, niliporudi alinipa kichapo cha haja.
      Baada kichapo nikamfata Maa nikamuuliza "hivi mama , huyu baba ni ndg yetu?"
      akaniuliza , "kwanini ? " nikamwambia kanichapa akaniuliza tena "kwa hiyo unataka tumfanyaje?" nikajibu
      "kwanza leo asile kwetu, usimpe chakula chetu alafu tumfukuze kwetu"

    11. #28
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,800
      Rep Power : 11185
      Likes Received
      6989
      Likes Given
      5168

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Judgement, umetisha sana mkuu.

    12. #29
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,800
      Rep Power : 11185
      Likes Received
      6989
      Likes Given
      5168

      Default

      Quote By billie
      stori yangu kwa kweli ipo kipekee sana na ipo hivi;
      katika age ya miaka 7 mwenzenu nilikuwa mtundu sana,sasa siku moja nikauchokoza ugomvi mtaani nikakimbizwa hadi hadi kwetu bila breki nikaingia moja kwa moja hadi chumbani kwa wazazi aisee nikamkuta baba kavua nguo daa niliyoyaona kwa baba yalinishangaza sana kiasi kwamba nikakaa na ile image kichwan muda wa wiki mbili nzima natafakari nilichokiona for real sikuwahi kuona nyeti na manyoya yake za mtu mkubwa thats why nilibaki na maswali mengi sana kuhusu baba.
      Bila kusahau siku hiyo dingi alinichapa ila wakimuuliza kafanya nini anawajibu eti nimezidi kuzurura na kupigana ovyo ila mchapajwi nilijua what is the core problem.
      uliona dingi ameanza kugeuka sokwe

    13. #30
      Rubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2009
      Posts : 1,237
      Rep Power : 736
      Likes Received
      154
      Likes Given
      132

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      hahaha mimi nasimlia ch binamu yangu mdogo. Baba yake alikuwa anampenda sana mwanaye wa mwisho wa kike kiasi cha kumdekeza kila kitu hata kufanya tumuite mwana madeko akiwa na miaka mitano siku hiyo uncle katoka pata kinywaji na rafiki yake wakarudi nyumbani.

      So wakati tumewatengea ugali uncle akamwita mwanae kitinda njoo umsalimie mgeni ule na ugali, kitinda akaenda, sasa wakati wanakula alikaa karibu na rafikie uncle so akasikia harufu ya ponmbe na sigara maana alikuwa amezinyuka kisawasawa, basi kitinda akamwambia baba yake "baba huyu mgeni domo lake linanuka ugali" sijui hapigagi mswaki! siye tuliokuwa tunaangalia TV tulishindwa kujizuia kucheka, staha ilikuwa tu alishindwa kugundua na kusema domo linanuka pombe badala yake akasema ugali!
      Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

    14. #31
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,800
      Rep Power : 11185
      Likes Received
      6989
      Likes Given
      5168

      Default re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Nikiwa mdogo nilidokoa mboga aliyowekewa dingi mifupa nikawa naificha kwenye kabati langu la nguo. Mama na baba walipofunua hotpot baada ya kutoka job wakakuta ugali na mchuzi tu.
      Mama alikuwa na akili sana, akaenda chumbani kwangu na kufanya msako mkali, mifupa ikakutwa kabatini.
      Nilipo ulizwa mifupa inafanya nini kabatini kwako, nikajibu, mama huyu paka wetu ni paka shume, sasa amewaambikiza na panya wamekuwa panya shume, ona wamedokoa mboga kwenye hotpot halafu wamekuja kuficha kabatini kwangu.
      Kabla sijamalizia sentensi nilipigwa kofi moja zito mno. Sikio lilivuma kwa zaidi ya wiki mbili utadhani limeingiliwa na nyuki ndani yake

    15. #32
      Haven's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 119
      Rep Power : 370
      Likes Received
      58
      Likes Given
      108

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Quote By Billie
      Stori yangu kwa kweli ipo kipekee sana na ipo hivi;
      Katika age ya miaka 7 mwenzenu nilikuwa mtundu sana,Sasa siku moja nikauchokoza ugomvi mtaani nikakimbizwa hadi hadi kwetu bila breki nikaingia moja kwa moja hadi chumbani kwa wazazi aisee nikamkuta baba kavua nguo daa niliyoyaona kwa baba yalinishangaza sana kiasi kwamba nikakaa na ile image kichwan muda wa wiki mbili nzima natafakari nilichokiona for real sikuwahi kuona nyeti na manyoya yake za mtu mkubwa thats why nilibaki na maswali mengi sana kuhusu baba.
      Bila kusahau siku hiyo dingi alinichapa ila wakimuuliza kafanya nini anawajibu eti nimezidi kuzurura na kupigana ovyo ila mchapajwi nilijua what is the core problem.
      Yaan nimecheka sana... kisa hichi kimenikumbusha mimi wakati niko mdogo kama 5-6 yrs nilikuwa mwoga sana hata nikilala usiku taa ilikuwa haizimwi, sasa kuna siku my sista alinichukua kwenda kwake (ndo alikuwa ameolewa) nilipolala wakanizimia taa, usiku nikakurupuka na kutana na giza chumba chao kilikuwa next door yaani nilitoka mbio kitandani moja kwa moja chumabani kwao wee niliyoyakuta yanaendelea huko kwa wakati ule sikuweza kuelewa hata kidogo...nilipigwa na butwaa kisha nikatoka mbio tena hadi sebuleni maana nilihisi sipo duniani..kesho yake nilirudi hom

    16. #33
      Meritta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2011
      Posts : 1,265
      Rep Power : 665
      Likes Received
      267
      Likes Given
      475

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      mh eeh mbavu zangu mie
      "Ni UPENDO tu"

    17. #34
      Jiwe Linaloishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2008
      Location : Mlimani
      Posts : 3,106
      Rep Power : 17238
      Likes Received
      1622
      Likes Given
      1122

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      mi nikiwa na miaka tisa kijijini kuna majani walikuwa wanasema ukiyasaga na ukijipaka unaota nywele kwa akili za utoto tukaenda kujipaka ili mavuzi yaote wacha niwashwe ngoma wacha ivimbe dingi hayupo ikabidi nijisalimishe kwa maza dah soo kipigo na dawa juu.. kingine mi utotoni nilikuwa nikiona demu mzuri amekojoa kule migombani mi nilikuwa naenda kuweka kidudu changu hapo kwenye kishimo alipokojo... najiona kama nimemfanya vile.... rahaaaaa utoto hauna maana
      SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI

    18. #35
      idawa's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,516
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1205
      Likes Given
      454

      Default

      Quote By Jiwe Linaloishi
      mi nikiwa na miaka tisa kijijini kuna majani walikuwa wanasema ukiyasaga na ukijipaka unaota nywele kwa akili za utoto tukaenda kujipaka ili mavuzi yaote wacha niwashwe ngoma wacha ivimbe dingi hayupo ikabidi nijisalimishe kwa maza dah soo kipigo na dawa juu.. kingine mi utotoni nilikuwa nikiona demu mzuri amekojoa kule migombani mi nilikuwa naenda kuweka kidudu changu hapo kwenye kishimo alipokojo... najiona kama nimemfanya vile.... rahaaaaa utoto hauna maana
      duh.! Umenikumbusha mbali, kama unavyojua wanawake wa vijijini kukojoa kwao ni sehem za wazi,basi tulikua tukivizia mwanamke akimaliza haja yake tu sisi tunabadali na kuweka vidudu vyetu pale kwa zamu na kujihisi tumelala na mwanamke tulijiona wajanja sana..!!

    19. #36
      The Infamous's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2009
      Posts : 653
      Rep Power : 640
      Likes Received
      80
      Likes Given
      112

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      mimi nilikuwa na miaka 6, lakini nimesahau kisa changu...

    20. #37
      Tekelinalokujia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Location : Planet Earth
      Posts : 344
      Rep Power : 509
      Likes Received
      30
      Likes Given
      166

      Default Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Hizo story zimenniburudisha na mimi natupa moja yangu. Enzi hizo tulivuna maharage shamba tukawa na kazi ya kumenya na kuanika kilasiku, tukawa tunapimiwa kiasi cha kumenya kwa kila mmoja wetu ili tusitegeane, siku ya tukio mimi sikumaliza kumenya fungu langu nikachukua zile ambazo sijamenya nikazifukia kwenye shina la migomba, kumbe dingi mjanja hua jioni baada ya kazi anapita kukagua, akazikuta basi akauchuna mpaka usiku muda wa kula tumesha kaa wote mezani akauliza nani katupa yale maharage ambayo bado hayajamenywa, huku na kule baada ya kubanwa ikajulikana ni mimi, basi dingi akaniambia nikayachukue niliporudi ndani akaniambia niyaoshe na kuyaweka kwenye sahani yangu ya chakula na ndio yatakua chakula changu usiku ule, basi washkaji wanakula wali wa nazi na mchuzi wa nyama mimi namenya maharage na kuyala, huku nalia. Nilikoma kujitia mjanja

    21. #38
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,799
      Rep Power : 5233
      Likes Received
      3288
      Likes Given
      8970

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Quote By Arabela
      yaani Mentor amenionea kweli angepotezea. Now 23
      Hope umeshapoa...
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    22. #39
      charminglady's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 8,822
      Rep Power : 17523
      Likes Received
      4860
      Likes Given
      5183

      Default Re: Nilichukia sana nilipogundua kuwa baba ndiye mchumba wake mama...

      Bujibuji inaonekana ulikuwa mtukutu kweli, Judgement u have made my day!

    23. #40
      charminglady's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 8,822
      Rep Power : 17523
      Likes Received
      4860
      Likes Given
      5183

      Default

      Bujibuji inaonekana ulikuwa mtukutu kweli, Judgement u have made my day!

    24. FemaTV & Radio
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...