JamiiSMS
  Show/Hide This
  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 51
  1. MsemajiUkweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th July 2012
   Posts : 575
   Rep Power : 3900
   Likes Received
   260
   Likes Given
   160

   Default Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   ​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo? au ni vyote kwa pamoja?

   Tafadhali changia kama una mchango chanya.
   REMEMBER:
   It's better to be silent and thought a fool than to speak and remove all doubt.
   Pasco likes this.


  2. Hute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Posts : 2,530
   Rep Power : 85901794
   Likes Received
   936
   Likes Given
   37

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   asilimia hamsini ya wanawake wa kihangaza wanaolewa wakiwa bikra, kule utaenda unamkuta mdada ana miaka 25 lakini bado bikira.

  3. tz1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2011
   Posts : 2,082
   Rep Power : 0
   Likes Received
   446
   Likes Given
   329

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Wakinga je?

  4. MATESLAA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2011
   Location : KINONDONI STUDIO
   Posts : 1,253
   Rep Power : 743
   Likes Received
   65
   Likes Given
   50

   Default

   Quote By MsemajiUkweli View Post
   Niko kwenye utafiti kielimu
   aiseee baba yangu utatunikiwa degree ya utaira,,kwanza unapoteza muda wenzako wanafanya utafiti wa kwenda mwezini wewe bado upo kwenye ukabila

   ngoja nikatengeneze mbege mie
   na elimu yangu ya darasa la 7

  5. mtotowamjini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2012
   Location : None of Your Business
   Posts : 4,542
   Rep Power : 1364
   Likes Received
   1118
   Likes Given
   29

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   kulivo na mkorogo, nywele feki, kucha feki, nyusi feki, wowowo feki, kila kabila siku hizi karibia wote ni warembo...
   Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

   One man's good fortune is another man's misfortune


  6. ChaterMaster's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2009
   Posts : 460
   Rep Power : 688
   Likes Received
   76
   Likes Given
   124

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Kuna kabla lnafanana na wahaya lnaitwa wanyambo n nomaaa
   MsemajiUkweli likes this.


  7. Mtoto halali na hela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2012
   Location : Himo, Kilimanjaro.
   Posts : 10,543
   Rep Power : 221018504
   Likes Received
   2486
   Likes Given
   1026

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Wairaq wako poa sana.
   MsemajiUkweli likes this.

  8. MsemajiUkweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th July 2012
   Posts : 575
   Rep Power : 3900
   Likes Received
   260
   Likes Given
   160

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By Pasco View Post
   Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.

   Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!
   Pasco,

   Kwa maudhui uliyoyatoa. Je, unafikili anaweza kupatikana mwanamke mwenye uzuri wa tabia, mahitaji na macho kwa jamii ya Kitanzania na kama ni hivyo, Je unafikili ni kabila gani lenye uwezekano wa kuwa na mwanamke huyo(general)
   Pasco likes this.

  9. #28
   GP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2009
   Location : every where
   Posts : 2,064
   Rep Power : 1040
   Likes Received
   125
   Likes Given
   117

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By Hute View Post
   asilimia hamsini ya wanawake wa kihangaza wanaolewa wakiwa bikra, kule utaenda unamkuta mdada ana miaka 25 lakini bado bikira.
   asee, hawa wanapatikana mkoa gani na kijiji gani nikatafute mke mkuu???

  10. Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 15,647
   Rep Power : 269294226
   Likes Received
   13537
   Likes Given
   62261

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By MsemajiUkweli View Post
   Pasco,

   Kwa maudhui uliyoyatoa. Je, unafikili anaweza kupatikana mwanamke mwenye uzuri wa tabia, mahitaji na macho kwa jamii ya Kitanzania na kama ni hivyo, Je unafikili ni kabila gani lenye uwezekano wa kuwa na mwanamke huyo(general)
   Hakuna mwanamke mwenye vyote, unapewa hiki, unakosa kile!.

  11. Buntungwa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 213
   Rep Power : 576
   Likes Received
   33
   Likes Given
   17

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   wakuuu wanawake wazuri wa kila kitu wapo kwenye kabila la WASIMBITI niwa tam na wazuri sana

  12. Simba Mkali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st January 2012
   Location : Uswazi
   Posts : 449
   Rep Power : 557
   Likes Received
   112
   Likes Given
   122

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Wamburu kwa kweli ni wazuri lakini sijui kama wanajua mapenzi.
   MsemajiUkweli likes this.

  13. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 22,083
   Rep Power : 168829495
   Likes Received
   8058
   Likes Given
   3535

   Default

   Quote By ChaterMaster View Post
   Kuna kabla lnafanana na wahaya lnaitwa wanyambo ni nomaaa
   Wana asili ya waganda hao wanapenda ngono hao inabidi uwe mtaalamu ngonoholic!
   Tarime one likes this.

  14. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 22,083
   Rep Power : 168829495
   Likes Received
   8058
   Likes Given
   3535

   Default

   Quote By Pasco View Post
   Hakuna mwanamke mwenye vyote, unapewa hiki, unakosa kile!.
   Tembea uone Pasco! Kuna wanawake wamejaaliwa kuanzia Sura,umbo,mvuto hadi tabia!! Unaniangusha Pasco!
   Pasco likes this.

  15. Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 15,647
   Rep Power : 269294226
   Likes Received
   13537
   Likes Given
   62261

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By King Kong III View Post
   Tembea uone Pasco! Kuna wanawake wamejaaliwa kuanzia Sura,umbo,mvuto hadi tabia!! Unaniangusha Pasco!
   King Kong, ujana wangu niliutumia vizuri na sasa katika utu uzima, mimi ni mwafrika halisi kwa experiance yangu ambayo sii haba, sijawahi bahatika kukutana na balanced equation, Kwanza nilipenda nyele ndefu na miguu minene, nikakuta ..., baadae nikatarget sura nzuri, waupe na ma miss miss nao nikakuta ..., nilikuja settle kwenye black beauty, angalau angalau, sasa nimestaafu rasmi save for long trips only, bado sijabahatika!.

   Ila love satisfaction is relative and an atitude of mind, ukishapenda kwa moyo wote kufikia stages za true love, then you get the most at your best ndio maana kuna sehemu ukipita wewe, unaishia kutambaa kwa kuona "there is nothing", huku mwenzako anafika jumla na kwake yeye hapo ndio "everything". No formular that fits all.
   Tarime one and Itezi like this.

  16. princess enny's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2012
   Posts : 1,037
   Rep Power : 2157483
   Likes Received
   372
   Likes Given
   395

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   wazaramo

  17. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,723
   Rep Power : 17198928
   Likes Received
   1144
   Likes Given
   14

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Wanyaturu

  18. idawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Location : karibu na nyumbani.
   Posts : 9,737
   Rep Power : 289007334
   Likes Received
   3450
   Likes Given
   1912

   Default

   Quote By tz1 View Post
   Wakinga je?
   wakinga wapo mchanganyiko, sawa na wachaga ukiwaona usoni wazuri kweli tatizo kuanzia kiunoni hadi miguuni utachoka.!
   tz1 likes this.

  19. Hute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Posts : 2,530
   Rep Power : 85901794
   Likes Received
   936
   Likes Given
   37

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By kanal gadafi View Post
   Wanyaturu
   tema mate chini, nimeshaishi sana singida, ..wanyaturu wana miguu kama chelewa za mfagio, kasura kazurii lakini kiuno cha ajabu, miguu ya kwato, halatu wanakeketwa, malaya ajabu, na wachafu sana...achilia mbali uchawi/madawa....ukiwa singida wanyaturu wenyewe hawapendi uwatambue kwa kabila lao, wengi wanajifanya wanyiramba.....kabila chafu kuliko yote hilo, wanawake wake hata nikikutana nae ulaya nikiangalia miguu tu na kiuno, sihitaji utambulisho.

  20. dri ma's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th August 2012
   Posts : 106
   Rep Power : 463
   Likes Received
   10
   Likes Given
   1

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   wanyamwez wanatisha na ukitaka kuthibitisha hilo ingia interior utagundua; wao n natural beauty kila kigezo wametmia na co maandunje ka madada weng w kileo

  21. Jiwe Linaloishi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th May 2008
   Location : Mlimani
   Posts : 3,670
   Rep Power : 80699
   Likes Received
   2083
   Likes Given
   1808

   Default Re: Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania

   Quote By MsemajiUkweli View Post
   Niko kwenye utafiti kielimu
   Mfwate Ancle Lundenga na Chips yai watakupa data za warembo wanaaongoza kwa uzuri, umbo, utamu nk. ni kabila gani
   SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI


  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...