BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby
Asprin kampeleka
Yummy kufanya shaving kwa
Boflo!
Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na
Catherine bila
Mentor kujua!
zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa
Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi.
Kaizer na
gfsonwin wapo kwa
Kimbweka na
Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu!
Excellent na
Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha
Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua
Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina
Superman na
gambachovu, mmhhh
Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana
sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya
Kongosho asali ya
ODM!
ila
Roulette kuna mtu anaitwa
Invisible namuogopa tu,
Paw na
Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa
Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu
Zinduna na
Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!
kesi ya
CUTE na
Ruhazwe JR acha tu maana hata @Mcckee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la
Bishanga na
The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
Follow Us Here