Naomba unisikize me mtoto wa mwanamke mwenzio. Nataka ndoa kwako mama wa kijijini/ wa mgombani. Naomba mashemeji mjitokeze ma aunt na wakwe, niko tayari. Ahsante kwa uelewa wako.
Naomba unisikize me mtoto wa mwanamke mwenzio. Nataka ndoa kwako mama wa kijijini/ wa mgombani. Naomba mashemeji mjitokeze ma aunt na wakwe, niko tayari. Ahsante kwa uelewa wako.
Akikubali ombi lako usisite kunipa kadi ya mchango nitoe visent kidogo!
“If you don’t build your dream, someone will hire you to build theirs.,,,,,Tonny Gaskins
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ni mh. Ruttashobolwa na katibu ni mh. Kongosho naomba wachague wanakamati wengine.
Judgement,hili leo unalo!
1. Jamani PPRA niko hapa taratibu zifwatwe posa ipitie hapa ili nijiridhishe kama kabati la mbehoo lipo na mburu wa maruwa
2. hakuna kuonja kwanza
3. Posa haitarudishwa
vigezo na masharti vizingatiwe
SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI
Follow Us Here