"Wamenitumia ada ya shuleeeeeeeee!" "wamekataaaaaaaaaaaa!"
Matangazo mengine bana!
"Wamenitumia ada ya shuleeeeeeeee!" "wamekataaaaaaaaaaaa!"
Matangazo mengine bana!
Kama sijaelewa vile
Hahahahaaaaaa Wamekataaaaaaa hiiiiiiiiiiiiii wamekataaaaaaaaaa!!!
Hahahahaaa! Vijembe vya kibiashara!
Wanapigwa vijembe mahasimu wao Voda.
linapatikana wapi hilo?
ASIYEUMBA HAUMBUI
Nimekam fasta hapa nikatoka bafuni na povu la sopu kichwani nikidhani yakatwayo ni MAUNO kumbe ! Akh!
Umenimisiplesije!
Lile tangazo first time kulisikia nilikuwa kwenye dala dala nikalichukulia poa. Siku moja nimekaa home nimetulia halafu nikalisikiliza niliangua kicheko balaa..
mi nikajua tanesco wamekata umeme guest. Mia
Follow Us Here