wakubwa
Leo najisikia kuwa na wivu sana hata sielewi ni wivu wa nini!......najisikia kuwa sehemu tulivu sana,sitaki mauzi labda yawe mauzi kutoka kwa charminglady , sitaki kuchekeshwa labda kutoka kwa Junior .Cux ,Sitaki Tabasamu wala kutoka kwa @Cucico ningependa nisionane na mtu labda nionane na @FistLady tu
Sijui kwa nini hali hii inanitesa sana si kawaida

Reply With Quote
Follow Us Here