hebu tujuzane wapenda nini hasa huku mmu, toa sababu hasa kwanini wewe ni mwana mmu.
mfano mimi ni mwana mmu kwasababu napenda tu ku do basi.
hebu tujuzane wapenda nini hasa huku mmu, toa sababu hasa kwanini wewe ni mwana mmu.
mfano mimi ni mwana mmu kwasababu napenda tu ku do basi.
Masuala mazima ya mahusiano, ndoa, afya ya uzazi na mengine mengi.
Unajua kwavile watu wengi hawatumii majina halisi wala wengi hawaweki picha inakuwa rahisi mtu kuongea chochote
bila uoga na kutoa mchango wake.
Hakika jf hasa mmu na jukwaa la siasa kuna mengi mazuri,
kuna vitu hauwezi kuuliza pengine lkn ukija jf uasema tu na watu wanakushauri.
najifunza mengi kuhusu mapenzi na kupata experience nyingi za mahusiano
hivi mmu tunajadili mambo ya ku-duuuuuuuuuuuuuu??????????????? ???????????
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
kufundwa na kufunda......................
Happiness is not a reward it is a consequence
Follow Us Here