Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 44 of 44
    1. #1
      HYGEIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Location : Moshi
      Posts : 1,461
      Rep Power : 4499
      Likes Received
      643
      Likes Given
      657

      Default Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

      Wapendwa wanachichat habari zenu? Leo ntafunguka na kujimwaga sana kuhusu mambo yaliyonitokea hivi karibuni. Mambo yalianza hapahapa chitchat niliporusha uzi huu: http://www.jamiiforums.com/jf-chit-c...end-wangu.html. Uzi huu ulizua jambo moja kubwa; Erotica sasa ni wangu! Tangu tumeanza kuwa pamoja maisha nayaona kwenye mwanga tofauti kabisa. Nilikuwaga na stress za aina fulani, lakini baada ya Erotica kuingia kwenye anga zangu stress na feelings negative za maisha nlizokuwa nazo zimeyeyuka! Kila mara najisikia mwepesi na mwenye furaha sana. Unajua kilichotokea? Ni kwamba Erotica ni expert lover sijapata ona pengine. The way she hugs! The way she kisses! Halafu baada ya hapo akunong'oneze kitu masikioni weee! Mwanzoni niliona kama ndoto lakini sasa naanza kuona it's real and part of my life.Sasa ije mambo ya msosi. Sijui kasomea wapi mapishi bwana! Mie napenda sana ugali kwa samaki. Anavyosonga ugali mtamu jamani huyu mama! Tena kanifundisha kula ugali wa mhogo. Eeee bwanae! Aanze na mabusu halafu akusevie ugali mhogo! Unajiona uko mbinguni.Hizo stori sasa saa mnakula na pengine kwa bahati awepo shogaake mkubwa Kaunga! ambaye ni mcheshi sana. Ni raha juu ya maraha nakwambia.

      Lakini nionavyo kadri siku zinaenda Erotica anazidi kuchoka kwa sababu ya ujauzito wake. Ameshauriwa na dokta apumzike full yaani hata kuoga asiende bafuni. Ila yeye si mtu wa kupenda kukaa mahali moja. Hata hivyo kumpunguzia kazi mimi na Kaunga tupo kusaidia.

      Hivi karibuni kuna kitu klitokea na kitu hicho naona kama kimemuumiza sana, hata mimi pia. Nilimfuma na picha moja ya sex aliyopiga na mjamaa. Nilipomwuliza alipatwa na kwikwi kali kisha akamwita Kaunga azungumze nami. Nilielewa, nikamwambia aichome hiyo picha kwani inanipa shida. "Itachomwa tu shemeji usitie shaka" Kaunga aliniambia. Sijui kama imechomwa ila mahug na makisses yameongezeka mno

      Ni hayo tu wanachitchat. Kwangu yalianza kama uzi wa kawaida hapa ila yamegeuka kuwa makubwa! Naomba mtuombee!
      Last edited by HYGEIA; 4th August 2012 at 10:17.
      Asprin, Bishanga, Kaizer and 6 others like this.
      MGENI RASMI: CCM OYEEEEEE!
      WANANCHI: HAITOKIIIII. HAITOKI!
      (Kwa Hisani ya Wanamtwara)

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      HYGEIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Location : Moshi
      Posts : 1,461
      Rep Power : 4499
      Likes Received
      643
      Likes Given
      657

      Default Re: Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

      Quote By Remmy
      Hongera zako aisee.....!
      Yaani matatizo yote yameyeyuka.
      Yaani Remmy wee acha tu. Ni full maraha!
      MGENI RASMI: CCM OYEEEEEE!
      WANANCHI: HAITOKIIIII. HAITOKI!
      (Kwa Hisani ya Wanamtwara)

    4. #42
      HYGEIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Location : Moshi
      Posts : 1,461
      Rep Power : 4499
      Likes Received
      643
      Likes Given
      657

      Default Re: Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

      Quote By simplemind
      You picked a fine time to leave me Erotica /with four hungry children/crop in field/i ve had some bad times/lived through some sad times/but this time your hurting wont heal/you picked a fine time to leave me Erotica.

      Too late simplemind!
      MGENI RASMI: CCM OYEEEEEE!
      WANANCHI: HAITOKIIIII. HAITOKI!
      (Kwa Hisani ya Wanamtwara)

    5. #43
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

      Quote By HYGEIA
      Wee Erotica! Hapo bold. Madokta na manesi hawaruhusu hii kitu.

      papito kumbe hairuhusiwi? tuombe ipitishwe kwenye katiba basi!
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    6. #44
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

      Quote By simplemind
      You picked a fine time to leave me Erotica /with four hungry children/crop in field/i ve had some bad times/lived through some sad times/but this time your hurting wont heal/you picked a fine time to leave me Erotica.

      Simple mind but you said you don't want me anymo. how come papito?
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    7. Miaka 50
    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...