mambo wana chitchat, leo nimeota ndoto nzur kwel. kwamba kuna mtu kanipigia kwa namba ngeni (namba ambayo sijaisave kwny cm yangu) nikamuuliza wewe ni nani akaishia kunizingua tu mpaka nikashtuka toka usingzin bila kumfahamu ni nani. cha ajabu hadi namba naikumbuka kichwani. cjui nimpigie ili nimfahamu, au ningekuwa na uwezo ningelala tena afu niendeleze ndoto ile ili nimfahamu ni nani!


Reply With Quote



Follow Us Here