Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Asprin......

    Report Post
    Page 9 of 9 FirstFirst ... 789
    Results 161 to 171 of 171
    1. #1
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,368
      Rep Power : 33548
      Likes Received
      8022
      Likes Given
      7528

      Default Asprin......

      Amejenga harem kama ile ya marhubi Zanzibar.Ina bedrooms 99 na lengo lake kila chumba kiwe na 'mke'.Hadi sasa vyumba 15 tayari vishakuwa occupied (wahusika jitajeni wenyewe kabla sijawataja kuanzia na cacico).
      Kulingana na uzito wa jukumu la kuzungukia wakeze inaaminika bwana mkubwa huyu imebidi aagize spesho mkuyati toka Nigeria (@Mamndenyi ndo kamletea,sijui wanahusiana kivipi).
      Habari za uhakika zinasema nje ya kasri kuna foleni ya kufa mtu kinamama wakigombea 'wasajiliwe' (hawa nao nawataka wajitaje wenyewe kabla sijawaorodhesha hapa).
      Subirini kidogo nimalizie kutega secret camera kwenye lisauna lake lenye uwezo wa kuchukua watu mia at a go ili niwarushie picha 'live'.
      Hakika Asprin ni mtu wa kazi,no wonder kwa siku anakula kuku watatu. Erickb52 fuata maneno ya asprin usifuate matendo yake usije pasuka msamba,shauri lako.
      Asprin, Kaizer, Remmy and 7 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #161
      KARIA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2011
      Posts : 688
      Rep Power : 3424
      Likes Received
      455
      Likes Given
      1126

      Default

      Quote By Kaizer
      Hii "Chungu mwenziye Jiko"
      Umeona eeh! HUjatakata mtoni utatakata bafuni! Kaizer!
      Asprin, Kaizer and Erickb52 like this.

    4. #162
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 11,999
      Rep Power : 31797
      Likes Received
      5918
      Likes Given
      19351

      Default Re: Asprin......

      Mkuyati uliniagiza wewe Bishanga nashangaa umempa Asprin unataka kummaliza tu mtu wa watu.
      Asprin and Erickb52 like this.

    5. #163
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,368
      Rep Power : 33548
      Likes Received
      8022
      Likes Given
      7528

      Default

      Quote By Mamndenyi
      Mkuyati uliniagiza wewe Bishanga nashangaa umempa Asprin unataka kummaliza tu mtu wa watu.
      Unanigeuka eh? Tangu lini ukaogopa kibano cha Asprin?
      Asprin, Erickb52 and Mamndenyi like this.

    6. #164
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 11,999
      Rep Power : 31797
      Likes Received
      5918
      Likes Given
      19351

      Default Re: Asprin......

      Wewe si ulianza mwenyewe kuniacha ukasema nimezeeka.

      Quote By Bishanga
      Unanigeuka eh? Tangu lini ukaogopa kibano cha Asprin?
      Asprin, Erickb52 and cacico like this.
      SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

    7. #165
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,054
      Rep Power : 14520
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5004

      Default Re: Asprin......

      Quote By KARIA
      Eti casico imekuwaje?
      aiseeeee
      Asprin, Erickb52 and Mamndenyi like this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    8. FemaTV & Radio

    9. #166
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,054
      Rep Power : 14520
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5004

      Default Re: Asprin......

      Quote By KARIA
      Sasa inakuwaje? na nimemmisije! na amesemajee? na ahadi ameivunjajee?
      mmmhhhhh kwani hakuomba msamaha???
      Asprin, Erickb52 and Mamndenyi like this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    10. #167
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 11,999
      Rep Power : 31797
      Likes Received
      5918
      Likes Given
      19351

      Default Re: Asprin......

      Nani amsamehe tena,
      mmezoea kuwaacha vijana wenzenu kutoka na akina babu Asprin,
      hivi kweli hapa kuna msamaha kweli.

      Quote By cacico
      mmmhhhhh kwani hakuomba msamaha???
      Asprin and cacico like this.
      SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

    11. #168
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Asprin......

      Quote By Mamndenyi
      Nani amsamehe tena,
      mmezoea kuwaacha vijana wenzenu kutoka na akina babu Asprin,
      hivi kweli hapa kuna msamaha kweli.
      Wanaupenda ukaguzi wangu. Hapa nlikuwa namkagua princess enny



      Na hapa charminglady anajiandaa kwa ukaguzi. Chezeya ODM weye?.



      Hapo nlikuwa nshamaliza na kina Cantalisia, sweetlady na Catherine.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    12. b2k
      #169
      b2k's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th April 2012
      Posts : 77
      Rep Power : 373
      Likes Received
      28
      Likes Given
      96

      Default Re: Asprin......

      Quote By Asprin
      Wanaupenda ukaguzi wangu. Hapa nlikuwa namkagua princess enny



      Na hapa charminglady anajiandaa kwa ukaguzi. Chezeya ODM weye?.



      Hapo nlikuwa nshamaliza na kina Cantalisia, sweetlady na Catherine.
      mmh! huu ukaguzi ni wanini eti wewe Asprin? mbona kama sikuelewi?

    13. #170
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 953
      Rep Power : 889
      Likes Received
      339
      Likes Given
      324

      Default Re: Asprin......

      Quote By Asprin
      Wanaupenda ukaguzi wangu. Hapa nlikuwa namkagua princess enny


      .
      looooohhhh!!!!!! ulimkagua au ulishuhudia!!!!

    14. #171
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,309
      Rep Power : 36527
      Likes Received
      7469
      Likes Given
      4604

      Default Re: Asprin......

      Quote By Bishanga
      niaje Amyner Erickb52 hajambo? bado mko vizuri? nauliza nna maana maana sa ingine jamaa haeleweki,ukipata muda chungulia inbox yake nahisi utakuta PM za sweetlady (just thinking aloud).
      Umbea sio kazi kaka , kazi kusutwa tuuuuuuu!
      Life without problems never make a strong and good person!

    Page 9 of 9 FirstFirst ... 789

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...