Bila shaka mikataba feki ya malavidavi inasainiwa kwenye inbox zenu a.k.a pm ajabu watu wakishagundua mikataba ni ya kifisadi wanakwenda mahakamani MMU' ombi langu kuanzia sasa mikataba yote iliyosainiwa pm iishie huko huko pm'
Nawasilisha

Hahahahahahahahahahahahaha
Ngongoseko yame kukuta nini?
kweli kabisa wamegeuka serikali kukimbilia mahakamani
umenichekesha hadi watu wananishangaa
Kweli hili jambo nilikuwa sija wai kujiuliza kabisa! Ila kuna mmoja alishaa kiri kusaini mkataba na mtu hapa na huyo aliye sign naye alichukulia ana sign mkataba wa utani kumbe mwenzie alikuwa serious mwisho wasiku akaenda mahakamani(MUM) lakini alikataa kumtaja aliye sign naye mkataba!
mimi pm napenda sana. unajua ukitaka ujue viumbe wa jf wanajua kuandika kimahaba basi ni kwenye pm. wanabembeleza hao!!..we acha tu. yaani utafikiri ni madoctor wa mapenzi. mi napenda. walio nipm vizuri wote nawachumu..Mmwaaaaaa...!!!. mia
pole mkuu
life goes on.....
unabeep ukipigiwa unahaha, kazi kwako.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Mh watu mnavogombana na keyboard zenu
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Happiness is not a reward it is a consequence
Me mbona sijawahi kupata PM yoyote ya mahabaaa??
mimi sijapata mkataba wowote.
Follow Us Here