Re: ID za JF bana. . . .

By
figganigga
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita
filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite
Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita
Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita
Invisible. Mia
ahahaaaaaaa upo wewe..nitazimia jamani mbavu zangu...
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Follow Us Here