Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Jei Efu Bana..

    Report Post
    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast
    Results 81 to 100 of 138
    1. #1
      TANMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Tanzagiza
      Posts : 5,046
      Rep Power : 7769
      Likes Received
      1808
      Likes Given
      3439

      Default Jei Efu Bana..

      ...nakumbuka zamani humu tulikuwa tunaitana Mkuu, bila kujali Umri wala jinsia.. Siku hizi watu wamebadilishana majina wanaitana Hane, Babu, Switi Hati, Laazizi, asali wa moyo n.k. Hii inatufanya mabachela tujisikie wapweke (au mkiita basi mtuite wote. Yes! haki sawa kwa wote).

      ... nakumbuka zamani watu walikuwa hawatongozani hovyo. Ila siku hizi siyo ajabu tena kukuta watu wanapigana denda hadharani kwenye masredi,, huko tuendako usishangae unafungua sredi unakuta watu wakifanya ngono humo.

      ...halafu sasa, zamani Bana vidume ndiyo tulikuwa tunarusha ndoano kwa mabinti humu JeiEfu, lakini siku hizi unashangaa Binti anakutongoza wewe tena macho makavu. Wengine hii mambo tunaogopa Bana, raha ya mchuchu uhangaike naye siyo yeye ndiyo ahangaike na wewe (wewe nanihii, ukinisumbua tena nakuanzishia sredi!!!!)

      ... nakumbuka watu walikuwa hawajisifu humu, wanasubiri wasifiwe, lakini siku hizi mtu hata akijamba basi atakuja kujisifu jinsi alivyoacha mtafaruku kwenye daladala baada ya kuachia kijambo cha kisailensa eti!!

      ...nakumbuka zamani watu walikuwa hawalewi hovyo humu JeiEfu, lakini siku hizi unaweza kufungua thread ukakutana na harufu kali sana ya Kangara, Mbege, Chang'aa, Kimpumu, Mnazi, nakazalika (wahusika mnajijua, hasa wewe babu sijui nani).. Kwa kuongezea siku hizi kuna kibabu kinajifanya kinafanya ukaguzi wa vibinti vya watu (ndiyo, wewe hapo unajijua!).

      ... nakumbuka zamani tulikuwa hatugombanii michuchu humu, lakini siku hizi hata ukimsalimia tu mchuchu wa mtu basi unaanzishiwa sredi huku ukisakamwa kama vile umeiba hela..

      ... Zamani Bana wanaume tulikuwa siyo wambeya, lakini siku hizi tuna wanaume (mwanaume?) wambeya (mbeya?) humu mpaka wanasutwa (I hopu ze meseji delivadi)

      ....nakumbuka,,,,, aaagh TANESSSSSSSSSSSSSSSKOOOOOOOOOO OOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!

      Ngoja niwashe kibatari, narudi.
      Bishanga, Kaizer, Remmy and 10 others like this.
      Do Something......

    2. FemaTV & Radio

    3. #81
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,019
      Rep Power : 7211
      Likes Received
      2775
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By sweetlady
      Hahahaha unakula daku sa 3 lol......unavunja sharia bana !
      Na wewe nawee!
      SL !
      Umekuaje ?
      Alokwambia means ya DAKU lazima iwe ubwabwa , chapati, au nini viko mezani ndiyo daku ? Nani kakwambia?
      Huyo si ni mtu mdhima ?
      Akikwambia daku si lazima iwe daku uijuayo wewe!
      Daku iko na category nyingi !
      Usikue na formula moja kama ya bata kuangukia kushoto!
      Nway vipi shem tumepotezana long faka !
      Kulikoni ?
      Last edited by Judgement; 30th July 2012 at 22:17.

    4. #82
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,980
      Rep Power : 8270
      Likes Received
      2684
      Likes Given
      3662

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By sweetlady
      Tobaaaa we platozoom toka lini mimi na wewe tukadhuriana ?
      Nakuona tu unachafua CV yangu kwa Umm
      sweetlady and ummu kulthum like this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    5. #83
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,239
      Rep Power : 31388
      Likes Received
      9616
      Likes Given
      683

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By Bishanga
      Tatizo lako we TANMO umekuwa ka pimbi aliyegawa mikia yote akasahau kujibakizia,yaani katika wambeya wa jf umesahau kujioridhesha pamoja na mpaka kuanzisha kiu/ijumaa ya jf?
      Ama kweli nyani haoni kundule!
      Eti nyani nini...?
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    6. #84
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1166
      Likes Given
      580

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By sweetlady
      Hehehehhe mie mzima ummu kulthumu platozoom lol.....sikujua kumbe wewe na platozoom mshakuwa mwili mmoja tehe hongereni ila mie nimemuiga Erickb52 hayo mengine muulize yeye lol
      huyu toka mwanzo anatufuatilia kinyume nyume sijui ana hoja binafsi
      sweetlady likes this.
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    7. #85
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,325
      Rep Power : 36531
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By Bishanga
      na wee mke wa mtu acha kutongoza vijana hazarani!

      Ntakuitia Nyani Ngabu sasa hivi......afu Bishanga ujue ulivolog in tu harufu kali ya pombe ya kienyeji imesambaa humu chit chat !
      Bishanga likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    8. Miaka 50

    9. #86
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,325
      Rep Power : 36531
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By platozoom
      Nakuona tu unachafua CV yangu kwa Umm
      Wewe nawe naona umeanza kulewa kama Bishanga .....toka lini mshenga akachafua CV ?
      platozoom likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    10. #87
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,325
      Rep Power : 36531
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By Judgement
      Na wewe nawee!
      SL !
      Umekuaje ?
      Alokwambia means ya DAKU lazima iwe ubwabwa , chapati, au nini viko mezani ndiyo daku ? Nani kakwambia?
      Huyo si ni mtu mdhima ?
      Akikwambia daku si lazima iwe daku uijuayo wewe!
      Daku iko na category nyingi !
      Usikue na formula moja kama ya bata kuangukia kushoto!
      Nway vipi shem tumepotezana long faka !
      Kulikoni ?
      Shem mie good enough......majukumu tu shem langu ndiyo yanafanya tupotezane !

      Hiyo daku ya Erickb52 nishaielewa so wacha nikae kimya lol !
      Life without problems never make a strong and good person!

    11. #88
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,019
      Rep Power : 7211
      Likes Received
      2775
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By platozoom
      Nakuona tu unachafua CV yangu kwa Umm
      Plato!
      Pole sana!
      Naona misukosuko unayokumbana nayo!
      Utadhani misukosuko ya Mv. Skagit ?
      au ya Mv. Irelander ?
      platozoom likes this.

    12. #89
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,980
      Rep Power : 8270
      Likes Received
      2684
      Likes Given
      3662

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By sweetlady
      Wewe nawe naona umeanza kulewa kama Bishanga .....toka lini mshenga akachafua CV ?
      Sitaki mshenga......nabeba mzigo kimyakimya
      sweetlady likes this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    13. #90
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,980
      Rep Power : 8270
      Likes Received
      2684
      Likes Given
      3662

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By Judgement
      Na wewe nawee!
      SL !
      Umekuaje ?
      Alokwambia means ya DAKU lazima iwe ubwabwa , chapati, au nini viko mezani ndiyo daku ? Nani kakwambia?
      Huyo si ni mtu mdhima ?
      Akikwambia daku si lazima iwe daku uijuayo wewe!
      Daku iko na category nyingi !
      Usikue na formula moja kama ya bata kuangukia kushoto!
      Nway vipi shem tumepotezana long faka !
      Kulikoni ?
      Sikuwahi kujua kama una maneno ya hekma kama haya
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    14. #91
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,325
      Rep Power : 36531
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By platozoom
      Sitaki mshenga......nabeba mzigo kimyakimya

      Haya baba kila la kheri na siku unga ukizidi maji pia ulie kimya kimya ......ole wako uje hapa eti oooh ummu kulthum kanitenda nisaidieni !
      ummu kulthum likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    15. #92
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,980
      Rep Power : 8270
      Likes Received
      2684
      Likes Given
      3662

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By Judgement
      Plato!
      Pole sana!
      Naona misukosuko unayokumbana nayo!
      Utadhani misukosuko ya Mv. Skagit ?
      au ya Mv. Irelander ?
      Ishaalah nitavuka salama
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    16. #93
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1545
      Likes Given
      1793

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Kwikwikwiiiiiiiiiiiiiii....... .!
      Sasa wewe utalinganisha zama za mawe na chuma?
      Hata zile za mawe ya kale, Kati na mwisho hazifanani....

    17. #94
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 953
      Rep Power : 889
      Likes Received
      339
      Likes Given
      324

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By TANMO
      Wow!!
      Hebu ngoja nilisikilizie kwanza halafu nitakuambia kama linatosha.
      kwa style hii zama za kale utaziweza!!??

    18. #95
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,325
      Rep Power : 36531
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By platozoom
      Sikuwahi kujua kama una maneno ya hekma kama haya

      Yaani Judgement kama hajapita bar huwa ana maneno ya busara na hekima sana platozoom !
      platozoom and ummu kulthum like this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    19. #96
      ummu kulthum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Location : singida
      Posts : 2,542
      Rep Power : 6990
      Likes Received
      1166
      Likes Given
      580

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By sweetlady
      Haya baba kila la kheri na siku unga ukizidi maji pia ulie kimya kimya ......ole wako uje hapa eti oooh ummu kulthum kanitenda nisaidieni !
      simtendi hanitendi,kanipenda nimempenda ila ulevi wake ndio shida inapoanzia..................
      ASIYEUMBA HAUMBUI

    20. #97
      Kaizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2008
      Posts : 14,061
      Rep Power : 21908
      Likes Received
      7044
      Likes Given
      7867

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?

      who is causing havoc here...
      sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom, Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny

      whats not hapenning?

      Mnatudisturb tunakula daku mara makelele sebuleni!
      "Bunduki bila risasi yaua namna gani"
      Email: [email protected]

    21. #98
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,019
      Rep Power : 7211
      Likes Received
      2775
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By sweetlady
      Yaani Judgement kama hajapita bar huwa ana maneno ya busara na hekima sana platozoom !
      SL !
      Ntakerazi mie Alhaji ujue ?
      Afu mie kama shem wako , hujui kama nikuupiga juu ya meza unazurika ?
      Haya ntakerazi kabla sijakusasambulia!
      Ohooo!
      Ntamwaga ? Usinifanye nikasaula ! In front of ze pipo .

    22. #99
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 953
      Rep Power : 889
      Likes Received
      339
      Likes Given
      324

      Default Re: Jei Efu Bana..

      [QUOTE=Kaizer;4344532]Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?

      who is causing havoc here...
      sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom, Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny

      whats not hapenning?
      Kaizer kula daku kelele za chura zskuzuie kunywa maji!!
      but TANMO analalamika ye haitw habitt, darln,hani....!! but leo ana furaha kdogo sweetlady kamuita darling!!!
      Kaizer likes this.

    23. #100
      Kaizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2008
      Posts : 14,061
      Rep Power : 21908
      Likes Received
      7044
      Likes Given
      7867

      Default Re: Jei Efu Bana..

      Quote By princess enny
      Kaizer kula daku kelele za chura zskuzuie kunywa maji!!
      but TANMO analalamika ye haitw habitt, darln,hani....!! but leo ana furaha kdogo sweetlady kamuita darling!!!

      Yaani ni kama wewe uniite habitt halafu yeye apige makelele?? Inahusu princess enny?

      daku njema!
      sweetlady and princess enny like this.
      "Bunduki bila risasi yaua namna gani"
      Email: [email protected]

    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...