Tuma salamu kwa uwapendao ila wawe wa jinsia.Usichanganye jinsia...
Mfano..Natuma salamu zangu Kwa MadameX,
Charmiglad
Mymy..,
Tuma salamu kwa uwapendao ila wawe wa jinsia.Usichanganye jinsia...
Mfano..Natuma salamu zangu Kwa MadameX,
Charmiglad
Mymy..,
madame gfsonwin, salam nimezipata kwa uzuri. lunch ya leo ina spaghetti na chicken masala. . . karibu
hbr za walimu gfsonwin ndo mwalikwa huko
Kaizer aone ya nini akati naituma post nilikuwa naye chumbani? nyie ndo wale wale unaamka na mkeo kitanda kimoja humsalimii hadi ufike kazini ukute kadi za salam ndo umtumie. lol!
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Follow Us Here