Eti nimetoa kishika uchumba kwa mwana JF, ila sema jina sitaji.
Eti nimetoa kishika uchumba kwa mwana JF, ila sema jina sitaji.
Mimi siyo mwana siasa!
Hukuchafua chupi?
Tatizo ni kwamba mwenyewe @Ng`wanakidiku kaanzisha tupio afu kaingia mitini.
makubwaaaaa.......timiza ndoto yako.
pole na ndoto
don't cheat in a relatioship..if ur not happy then just leave
eheeeeeeeerereeee zamani tulikuwa tunasema ukimuota mtu ukashtuka ukageuza shuka lako na yeye anakuota ,hayo maono mkuu ulifunga na kuomba nini?mwambie tu usihofu
Itakuwa ni naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
..hahahahahahahhaaha..eti hukuchafua chupi?
@@
Follow Us Here