Mimi mzee wangu Kwa mara ya kwanza ananua baiskel aina ya lord master mwaka 1989 na kuanza kujifunza kwa kupitisha mguu pale katka ya frame na kusonga...
Tukumbushe na wewe...
Mimi mzee wangu Kwa mara ya kwanza ananua baiskel aina ya lord master mwaka 1989 na kuanza kujifunza kwa kupitisha mguu pale katka ya frame na kusonga...
Tukumbushe na wewe...
sitaki kukumbuka mana iliniangusha tumbo likapiga chini paaa kama mjusi aliyedondoka toka darini,halafu isivyo na adabu na yenyewe ikanidondokea mgongoni......lol
Kwenye hili nilianguka sana, ubaya nilikuwa na jifunzia kwenye mteremko alaf baiskel haina break.......weeeeeeeeeeeeeeeee h
yan break ilikuwa ni kwenye mashamba ya watu, huku mikono na miguu ikijaa vidonda.
Ilikuwa phonex mkulima size 28. Bibi yangu ndo alininunulia, mwaka ulee niko darasa la nne! Nikajifunza nlipopata uzoefu kidogo kuna siku nilienda kusaga mahindi kama kilo 5 tu, kijiji jirani umbali wa km 4 au 5 hivi, nilianguka zaidi ya mara 5 mpaka kufika mashineni! Na kila nikianguka siwezi kupanda mpaka apatikane msamaria ashikilie baiskeri ndipo niendelee na safari! We acha bana, umenifanya nikumbuke siku niliyokaumia mguu nilipoanguka nikienda shamba na kunikosesha masomo zaidi ya mwezi mzima..!!
Ebanaee..!! ruttashobolwa kama kama nakuona vile unavoparamia matuta!
angel msofe halafu mbaya zaidi ukianguka unalazimika kuwa mwanajeshi wa kilazima maana lazima userereke paaap! Kama futi mbili hivi au tatu! Kwenda mbele!
Let me recall, Musee bought me a phillips 3 speed bike while in primary 4. I learnt how to cyle by first cruising downhill withought peddling. I gradually learnt to pedal once i could balance the bike. Soon i was cycling neighbourhood on my brand new bike shifting gears over hills and valleys. Then curiosity got better of me, what was enclosed inside hub that made hill climbing so easy on gear 1 and made possible a fast ride downhill on gear 3 in kind of slow motion peddling? I dismantelled the hub and learnt firsthand howstuffworks. Later in college , mechanics of machine professor analysed the workings of planetary gear mechanism and i recalled with nostalgia my phillips 3 speed bike.
Duh umenikumbusha mbali nilienda mjini baada ya kujua ilinidondosha mbele ya umati wa watu baiskel kujifunza noma bora gari.
sasa hiyo mikasa ya baiskeli ndio iliyonifanya nisiweze kuendesha mpaka leo........kila aliyekuwa anajua lazima aniambie alianguka.....hiyo ndio nilikuwa sitaki......
leo hii naweza kuendesha vyombo mbali mbali vya usafiri.....lakini baiskeli na pikipiki....vimedon't........
Life is too short to waste time hating anyone.........
Mie bahati mbaya nilianza kujifunza kuendesha ndege kabla ya baiskeli mnamo mwaka 1980.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Umenikumbusha mbali. Nilikuwa siwezi kupanda mwenyewe mpaka nishikiliwe ndo niondoke.
Follow Us Here