Mimi mzee wangu Kwa mara ya kwanza ananua baiskel aina ya lord master mwaka 1989 na kuanza kujifunza kwa kupitisha mguu pale katka ya frame na kusonga...
Tukumbushe na wewe...
Mimi mzee wangu Kwa mara ya kwanza ananua baiskel aina ya lord master mwaka 1989 na kuanza kujifunza kwa kupitisha mguu pale katka ya frame na kusonga...
Tukumbushe na wewe...
Acha kabisa hii ki2 baiskel!
dah.me mpaka leo nina kovu la baiskel. nlipoanza kujifunza ilinidondosha afu ikanichana mguuni mpaka nyama nyeupe ikaonekana. nkapelekwa pharmacy acha waniwekee ile dawa ukiweka kwny kidonda inachemka. nimeisahau jina. mwe asikwambie mtu maumivu yake!
Me nakumbuka alinifundisha rafiki yangu alikua ananifundisha vitu viwili kwa mpigo kuendesha na kupakiza mtu, si mnajua wengine wanaanza kujua kuendesha then baada ya muda ndio unajua kupakiza. Kuna day nilijigonga kwenye msitimu ilikua balaa nilivimba mguu mama alilia sana
Mimi imeniachia kilema!
dah nyie watu mnenikumbusha mbali
1. siku nilipomgonga mama aliyekuwa anatoka kisimani akiwa na ndoo ya maji kichwani
2. siku nilipogonga bata mitaa ya hananasif
3. siku mnyororo ulipochomoka nikiwa napanda mlima... na kujipigiza kwenye mgamba! maumivu yake we acha tu
4. siku nilipotest baiskeli mbovu nikitokea kinondoni ada estate nikaenda nayo hadi msasani penisula saafi tu, ila nilipogeuka tu ndio ikaniharibikia nikarudi nikisukuma hadi nyumbani
5. siku mzee wangu alipojua huwa naendesha baiskeli
Nilijifunzia baskeli za kukodi mtaani, sh 20 kwa saa moja. Nakumbuka ajali kama mbili hadi nikaumia mguu.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Follow Us Here