You are currently viewing our boards as a guest which limits to several features of this site. You may have to REGISTER before you can make a post. By joining our community, you will be able to post comments, communicate in private with other members, download attachments and start your own discussion. Registration is FREE, simple and fast! So please, join our community today!
Mwenda tezi na omo . . . ukijibu nawe unasema methali yako
By charminglady anaijua marehemu ukipenda chongo. . . utamvalisha miwani watu wasimwone ukisikia paaa....
By Kitandanikwetu utamvalisha miwani watu wasimwone ukisikia paaa.... Basi wote lala chini. Pilau la Hitima.....
By AmKATRINA Basi wote lala chini. Pilau la Hitima..... halikosi mkeka! Aliye shiba
By ruttashobolwa halikosi mkeka! Aliye shiba Anyanyuke atupishe wenye njaa tuendelee kula. Gozi la uwanjani....
By AmKATRINA Anyanyuke atupishe wenye njaa tuendelee kula. Gozi la uwanjani.... halichezwi kitandani! ukimuona kobe kainama. . .
By charminglady halichezwi kitandani! ukimuona kobe kainama. . . ujue kalemewa na gamba lake za mwizi?
By ruttashobolwa ujue kalemewa na gamba lake za mwizi? Zimefichwa Tandale kwa Mtogole. Ukiona manyoya...
By AmKATRINA Zimefichwa Tandale kwa Mtogole. Ukiona manyoya... ujue kuku/bata kapita mitaa hyo. mwenye macho. .. .
By AmKATRINA Zimefichwa Tandale kwa Mtogole. Ukiona manyoya... kutakuwa na kuku au bata kanyonyolewa chururu.....
By charminglady ujue kuku/bata kapita mitaa hyo. mwenye macho. .. . Halishwi limbwata Utamu wa kondoo....
By AmKATRINA Halishwi limbwata Utamu wa kondoo.... achomwe kwenye kuni nyani haoni. . .
By charminglady achomwe kwenye kuni nyani haoni. . . Hata avae Miwani. Ndevu za Beberu...
By AmKATRINA Hata avae Miwani. Ndevu za Beberu... ngumu kama katani mtoto umleavyo!
By charminglady ngumu kama katani mtoto umleavyo! Ndivyo atakavyofanana na wewe. Kapu la mjanja....
By AmKATRINA Ndivyo atakavyofanana na wewe. Kapu la mjanja.... halikosi mapochopocho ukistaajabu ya musa. . .
By charminglady halikosi mapochopocho ukistaajabu ya musa. . . Hutayashangaa ya Kikwete Mahabati Fiharba....
By AmKATRINA Hutayashangaa ya Kikwete Mahabati Fiharba.... duh, hapo nimechemka. nakupa mji. nenda mkuranga
By charminglady duh, hapo nimechemka. nakupa mji. nenda mkuranga Asante Charm n'taenda huko huko Mkuranga. Mahabati Firhaba,Chonchonga viroba.
By charminglady usiache kumlimboka vp mamito hbr za w-end? yaani umeniua mbavu! eti usiache kumlimboka! lol, i like chit chat! mzima weye mamito?
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Ndege huruka.......
Forum Rules
Follow Us Here