1. Si kweli kuwa Usalama wa Taifa hawakuhusika na utekaji na uteswaji wa Dr.Ulimboka.
2. Si kweli kuwa Zitto Kabwe hataki kitu ambacho hatakipata.
3. Si kweli kuwa Rais wa Zanzibar anauunga mkono Muungano.
4. Si kweli kuwa Rais Kikwete hakushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.
Mwenzangu je?

Reply With Quote
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."


Follow Us Here