'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake kunavutia. Polisi mnatia aibu. Tumikieni wadhalimu wa CCM na mjijali. Aibu kweli..

Reply With Quote


Follow Us Here