ujinga ni kwenda bank kutoa fedha kwenye ATM lakini unahesabu tena wakati machine imeshahesabu....Hebu na wewe andika Maada inayoanzia na NENO...UJINGA NI.......
ujinga ni kwenda bank kutoa fedha kwenye ATM lakini unahesabu tena wakati machine imeshahesabu....Hebu na wewe andika Maada inayoanzia na NENO...UJINGA NI.......
Swadakta.. Asprini..
Ujinga nikutangaza kuvutiwa na Preta kama nilivyofanya mimi na kushindwa kumaliza kazi. Ha ha ha hah.
Ujinga nikudhani Dennis ni jina analopewa mtu mwenye madeni.
Ujinga kujiona wa kwanza kumbe wa mwisho.
ujinga ni kumweka mpenzi wako loudspeaker kwa washkaji
Yani acha tu Ipycalypse.
Tena utawasikia
"Kuanzia wiki ijayo sitakuwa na gari,analiazima kakaangu"
kumbe Muongo mkubwa,
Mwenyewe kalichukua.
Acheni ujinga wenye tabia hzo.
ujinga ni kuipenda avatar ya mwanajamvi ukidhani ndivo alivo!
ujinga ni kumuonea wivu ex bf/gf akioa ama kuolewa
ujinga ni kwenda mlima City licha ya kuwa unajua huna hata senti tano mfukoni
ujinga ni kupiga dry alaf unakataa mimba
ujinga ni kumtokea mwana jf wakati hujui ata sura yake
ujinga ni kujifanya supa star jamvini wakati ata wengine kwenye ukoo wenu hawakujui
ni ujinga kusoma thread bila kureply!!!
Ni ujinga mtu mzima kujamba mbele za watu Na ukijua wazi jana usiku ulikula miharage! Next time sogea pembeni maliza shughuli yako,inakeraaaa Kwakweli!!
ujinga ni kwenda salon kupaka dawa za nywele WaKati unajua KaBisa una MAPunye!!!!!!!!
Follow Us Here