Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 81
    1. #1
      Zinduna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2011
      Location : Mzizima
      Posts : 1,239
      Rep Power : 11041
      Likes Received
      1441
      Likes Given
      2026

      Default Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!


      BADILI TABIA

      Ni matumaini yangu kwamba kwa wale ndugu zangu waislamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu salama kabisa.

      Baada ya kupata nafuu naamini inshaallah wiki ijayo Jumamosi ya tarehe 28, Julai 2012 kipindi hili cha Zinduna talk show kitarejea kama kawaida na nimeona nianze na mtu muhimu sana hapa JF, Mama yangu wa hiyari BADILI TABIA.

      Naomba kwa hisani yako mama uthibitishe uwepo wako katika kipindi hicho muhimu hapo juma lijalo naamini itakuwa ni fursa nzuri kwa wana JF kukufahamu vizuri na labda watapata pia fursa ya kujifunza mengi kupitia uzoefu wako katika mapenzi na mahusiano ya kijamii.

      Pia ningependa kuwashukuru Smile na Erickb52 kwa kujitolea kuendesha kipindi hiki wakati nilipokuwa mgonjwa, naamini humu kuna vipaji vingi sana na sasa najua kuwa, kumbe hata nitakapokuwa na udhuru wapo wadau wa kusongesha Zinduna talk show kama kawa.

      Nawatakia siku njema na ninaomba wiki ijayo tuwe pamoja katika kumkaribisha mama yetu BADILI TABIA

      ONYO: Kipindi hakipo leo kwa hiyo msianze kumsakama mualikwa na maswali, subirini wiki ijayo ndio mje hapa na maswali yenu.

    2. FemaTV & Radio

    3. #61
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      Quote By Bishanga
      Hivi wewe @ asprin,unajua 'uttering false document,under criminal law is an offence punishable by a jail term up to seven years? Ngoja nikufungulie RB polisi kilwa road.
      Hahahaha! Usintishe bana.... haya ngoja nikuache uendelee kufaidi kivuli..

      BADILI TABIA likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    4. #62
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,439
      Rep Power : 32075
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      Quote By The secretary
      mwaaaah
      Mwaa Received with lots of love. Kile kigauni cha pink nlichokununulia bado kinakutoa au nukuagizie kingine?

      The secretary likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    5. #63
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,368
      Rep Power : 33548
      Likes Received
      8022
      Likes Given
      7528

      Default

      Quote By Asprin
      Mwaa Received with lots of love. Kile kigauni cha pink nlichokununulia bado kinakutoa au nukuagizie kingine?

      Unaendelea kufoji tu?

    6. #64
      The secretary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 2,722
      Rep Power : 19052
      Likes Received
      1455
      Likes Given
      129

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      hakinitoshi kizygote kinapiga hodiii
      BADILI TABIA likes this.
      slow down slow down i'm on the wright direction

    7. #65
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      ndugu mtangazaji Zinduna, kabla sijajibu maswali ya bepari la kihaya Bishanga napenda kumtakia safari njema ya ulaya, aniletee perfume.....

      Quote By Bishanga
      Ndugu mtangazaji,
      Kwa kuwa siku ya mahojiano nitakuwa london nikiambatana na malkia kwenye ufunguzi wa olympics,naomba nichukue fursa hii kumtwanga maswali BT in advance:
      najibu maswali yako kama ifuatavyo, sikiliza kwa makini......

      Quote By Bishanga
      1. Nani alikubikiri?

      mume wangu Asprin ndo alinibikiri, enzi hizo wakati tunacheza kibaba na mama, watoto wakienda kulala sio tunajaribisha....


      Quote By Bishanga
      2 Viliuma?
      haaaaaaaaaaaa asikwambie mtu iliumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaa............ nikakata mawasiliano mwaka mzima kwa jinsi nilivyoumia....

      Quote By Bishanga
      3 Je ulibikiriwa kwa ndomu au kavukavu?
      kavu kavu Bishanga, na ndomu ingenogaje? hata kama sikuinjoi kudoo, niliinjoy romance tu....

      Quote By Bishanga
      4. Kama ulipuyanga mimba iliingia?
      mtoto wa mjini hapati mimba..... hata kama ni mara ya kwanza ku-doo

      Quote By Bishanga
      5. Kama iliingia uliichoropoa?
      na ujanja wangu wote sijawahi kuchoropoa......


      Quote By Bishanga
      6. Kama uliichoropoa,uliichoropea wapi,kwa kairuki?

      kumbe ndo unapopeleka watoto wetu kuwashusha enjini eeeehhhh...?


      Quote By Bishanga
      Swali la mwisho,hivi ni kweli Kaunga na @ erotica wanaliliniyu? Na je ni kweli @ kongosho naye kaingia kwenye hako ka mchezo?
      Bibie @ zinduna,nawasilisha.
      [FONT=comic sans ms Bishanga, Bishanga , Bishanga..... mie sitaki kusutwa subiri Kaunga na Erotica waje kukujibu..... Kongosho anakoga atakuja now now[/FONT]
      Asprin likes this.
      "Behind every great fortune there is a crime."
      - Honore de Balzac (1799-1850)

    8. Miaka 50

    9. #66
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      shosti ukicheka na Bishanga utaumia.....

      mwenzio Zinduna keshatwishwa kizygote, shaurilo...




      Quote By The secretary
      hakinitoshi kizygote kinapiga hodiii
      "Behind every great fortune there is a crime."
      - Honore de Balzac (1799-1850)

    10. #67
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,464
      Rep Power : 19780
      Likes Received
      4291
      Likes Given
      1229

      Default

      Hahahahahahahah
      Quote By Bishanga
      Huyu ni @ mphamvu bana kadakwa na faiza foxy.

    11. #68
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,309
      Rep Power : 36527
      Likes Received
      7469
      Likes Given
      4604

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      Quote By Bishanga
      Kutaniwa kidogo unaringa eh? Halafu siku nyingine nikusikie unamwongeza The secretary kwenye oroza yako ya uzanga ndo utajua kwa nini ng'ombe huwa anapuu kwenye K yake.
      Nimecheka ingawaje sijui maana yake lol!
      Life without problems never make a strong and good person!

    12. #69
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      Zinduna uko wapi? Mbona nimefika studio sikuoni? Halafu hata chai sijapewa?

    13. #70
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1545
      Likes Given
      1793

      Default

      Quote By BADILI TABIA
      Zinduna uko wapi? Mbona nimefika studio sikuoni? Halafu hata chai sijapewa?
      Mwenyewe nashangaa....nikajua nimechelewa kumbe hamna kitu.
      BADILI TABIA likes this.

    14. #71
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      nataka kuandamana, hata maji sijapewa....



      Quote By Remmy
      Mwenyewe nashangaa....nikajua nimechelewa kumbe hamna kitu.
      "Behind every great fortune there is a crime."
      - Honore de Balzac (1799-1850)

    15. #72
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,009
      Rep Power : 7209
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By BADILI TABIA
      nataka kuandamana, hata maji sijapewa....
      Alafu tena !
      Alafu tena!
      Alaf....,

    16. #73
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default Re: Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

      Hivi huyu BADILI TABIA sio Irene Isaka wa SSRA
      Naomba ukanushe kabla sijaanza kukuuliza maswali ya hapo kwa papo..?
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    17. #74
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default

      FirstLady1 mbona unataka kuniangushia dhahama mwenzio???

      Nakanusha, nakanusha , nakanusha



      Quote By FirstLady1
      Hivi huyu BADILI TABIA sio Irene Isaka wa SSRA
      Naomba ukanushe kabla sijaanza kukuuliza maswali ya hapo kwa papo..?
      FirstLady1 likes this.

    18. #75
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default

      halafu wewe
      halafu wewe
      halafu wewe,

      unakesi ya kujibu



      Quote By Judgement
      Alafu tena !
      Alafu tena!
      Alaf....,

    19. #76
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,009
      Rep Power : 7209
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By BADILI TABIA
      halafu wewe
      halafu wewe
      halafu wewe,

      unakesi ya kujibu
      Geuja maneno eti? Mwenye kesi usiwe ww ! Niwemie tena?
      Navojua ww ndo unakesi yangu! So unabarr'guzza.

    20. #77
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default

      Quote By Judgement
      Geuja maneno eti? Mwenye kesi usiwe ww ! Niwemie tena?
      Navojua ww ndo unakesi yangu! So unabarr'guzza.
      hahahahahahhaa haya bwana.....
      Halafu nilikuwa nimekununia hivyoooooo

      ila nimekumiss loh....

    21. #78
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,009
      Rep Power : 7209
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By BADILI TABIA
      hahahahahahhaa haya bwana.....
      Halafu nilikuwa nimekununia hivyoooooo

      ila nimekumiss loh....
      The same agenda happened!
      Namie nilikununia pia !
      So far nuna yako plus nuna yangu a result will be ?
      Last edited by Judgement; 29th July 2012 at 13:24.

    22. #79
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,558
      Rep Power : 5614
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default

      Hahahhaahahaaa inakuwa nuna square, loh..... Au nuna kipeuo cha pili?

      Vipi hali yako lakini?

      Quote By Judgement
      The same agenda happened!
      Namie nilikununia pia !
      So far nuna yako plus nuna yangu a result will be ?

    23. #80
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,009
      Rep Power : 7209
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By BADILI TABIA
      Hahahhaahahaaa inakuwa nuna square, loh..... Au nuna kipeuo cha pili?

      Vipi hali yako lakini?
      Niko poa bt ulinibore ! Najua wajua hukutenda equality !

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...