Wandugu, nipo nafanya arrangements za kufanya utalii wa ndani around mid August. Idea ni kutembelea mbuga yoyote ya wanyama - kwa mara ya kwanza.
Nipeni uzoefu wenu.
Mbuga ipi ntafanikiwa kuona wanyama wengi zaidi?
Budget inakuwaje - accomodation, entrace fees etc?
Hivi kuna website yoyote naweza kuingia na kupata data zaidi?

Reply With Quote


Follow Us Here