hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa na bado hajarecover sana nikamuuliza kwan vipi kaka akatamka kwa machungu jina lako sa nkasema catherine yupi? Akasema wa chitchat unautesa moyo wake sana anumia anhitaj nafas juu ya hili. Taafaadhali mi ni dada na nina familia yangu ila nimejizatiti kuubeba mzigo huu pliiiz kaka angu ankuhitaji naomba uumpe nafasi tafadhali ye ameenda oga soon atakuja kuthibitisha juu ya hili na usiogope sana kwan kuna kipind si uunajua tena ujana alikua na binti king'ast ndo jina lake lakin kuna tatizo lilitokea hadi likampelekea kaka kuokoka but kaona anhitaji mtoto mzuri ka wewe ,sasa mama naomba nitoe hoja na taarifa juu ya hili.
wako mtiifu Beibe nasty mke wa halali wa judgement

Reply With Quote



Follow Us Here