Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano
Kaizer yupo na dada
gfsonwin ila macho juu juu kwa
CUTE na kiroho kinastuka kwa
Remmy.
Erickb52 ana mijimama yake miwili.
Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu
Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (@cacico,
BADILI TABIA,
The secretary na
Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa
Mentor naona
Meritta bado anampenda na sijajua kama
King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.
Follow Us Here