Maadam nimehakikishiwa na mtumishi wa Mungu huyu na nabii aliyebarikiwa,
Kuwa ulabu siyo tu ni mzuri kwa afya ya binadamu, bali pia ni kadawa magonjwa mengi (sijui na ka Ukimwi?) Source?
Na kwakuwa leo yanipasa nivunje jungu kabla sijamrudia Mola anisamehe zambi zangu zote na za wajukuu na wake zangu.... Nitakunywa weeeee, nitalewa weeee..... nitajirusha weeeee
Basi mimi na wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA. Nikishirikiana na asali yangu Kongosho tunawakaribisheni wajukuu zangu wote kushiriki nasi kwenye vunja jungu. Vunja jungu hili litaambatana na kusheherekea harusi ya hommie wangu Kaizer anayemuoa gfsonwin. Ndoa hii itasimamiwa na Erickb52 na CUTE. Wajukuu zangu kutokea kushoto charminglady Kipipi, Catherine, Remmy ney kush na Madame B
Kwaito kama kawaida kwa kwenda mbele likiongozwa na Preta na sweetlady
Kuserebuka kama kawa kukiratibiwa na Bishanga na TANMO
Karibuni sana wanaChit Chat tulivunjilie jungu mbali kule.......Ulinzi wa uhakika utakuwepo.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa....
Imetolewa na ODM kwa hisani ya wake zake.







Reply With Quote

SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA


Follow Us Here