wanaume wengi wanasikika wakilalamikia tabia ya kusachiwa na wake zao,je wadau mnafikiri ni nini hasa sababu ya mwanamke kumsachi mumewe?
AMEN.......
wanaume wengi wanasikika wakilalamikia tabia ya kusachiwa na wake zao,je wadau mnafikiri ni nini hasa sababu ya mwanamke kumsachi mumewe?
AMEN.......
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Labda kama ananisachi kwenye nyeti tuu...sio wallet
....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...
Hapo kwa red, eti anakusachije Madame B? Njoo nisimulie kwa PM, hapa watoto wengi........
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Yaani mwalimu wangu Madame B ndo ivo uko?
Follow Us Here